ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,568
- 75,547
Una mambo ya kizee๐ ๐ ๐
Mimi sio mtu wa Kigoma ujue
Una mambo ya kizee๐ ๐ ๐
Mimi sio mtu wa Kigoma ujue
๐ ๐ ๐Ndo nn hiyo
Dah! Kwahiyo umekunja suruali halafu umevaa na kiatu cha kaziniView attachment 3043117
Guess my age ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kitambi sio kibaya tajiriTajirii! ๐ Aya bhana kitambi ninacho mwenyewe
Kazi yangu ni humu humu JF ๐๐๐Dah! Kwahiyo umekunja suruali halafu umevaa na kiatu cha kazini
Ulikua unaenda wapi
Kwamba wewe ni mod!Kazi yangu ni humu humu JF ๐๐๐
Kitambo sana ๐ ๐ ๐Kwamba wewe ni mod!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu nilijizuia ile siku kuropokwa, nlikua kwenye good mood, sikutaka sharii hata.
Kweli Manyanza anazingua na viatu vyake ๐น๐น๐น[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dhambii hizi uduguu.
Asante kwa kunitishami nimevaa ngozi
Mods huwa hawajisemiKitambo sana ๐ ๐ ๐
Ngoja nitafute picha nilovaa t-shirt la JF
Wifi yangu wa uchungu kabisaa ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐คฃ๐คฃ๐คฃMm ndo wifiyako og
Mbona kumrusha roho mwenzio my Wii๐๐
Wew utaki niende south Africa ๐
rafiki.Ohh tatizo wengine sio washinda jf muda wote ndiomana tunakosa mafoto ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Haya nimefika tupia sasa tuone
Tupia viatu vya kueleweka bana unaniangusha ๐น๐น๐น๐ ๐ ๐ ๐
Kwahiyo unataka uridhishwe na viatu vingine vizuri?
Manyanza viatu bado kabisaa ๐น๐น
Punguza ushangingirafiki.
Manyanza viatu bado kabisaa ๐น๐น
Sema umeamua kunirusha roho hilo pozi ๐
Em pandisha shirt juu ๐๐๐