Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Ndo kuwa Makin sababu nmeshaona chating zake na yy mda mrefu mapicha mnatumiana,,Sasa ntazianika Mana it's too much
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu weka hizo picha tulizotumiana na huyo lekcharaaaa. Jamani naomba uwekee hapaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama unajua ameoa kinachokufanya umuombe pesa ni nn Kama sio nyege hzo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee emu onesha hapa, nilipomuomba hela huyo lekcharaaaa, km ni kule selfika 1 alisema yeye anataka kunipa, na alikuja pm yeye kuomba namba, na alinitumia.

Haya weka hapa ushahidi nilipomuomba helaa tenaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Udugu nakuita cocastic
Hizi tuhuma za kweli?! Unaomba pesa wanaume za watu pm?! Ebu njoo ufanunue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu emu niwachee, wanataka niongee afu ionekane nakosea adabu baba za watu.

Alete uthibitishoo huo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…