Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,551
- 95,141
Kweli Dr Jux kakuteka shouga angu!! 😂😂😂Dr.adams faida
Huyu hapa nimepata mwiteee
Haya we shem wa kwa Biden wera yuu? Dr.adams faida
Tunakutafuta huku kwani ulipanda ndege gani?! Tayana wangu hana raha, chakula hakipiti 😜