Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,174
- 10,445
Check pm nimekutumia🏃♂️🏃♂️Acha hizooo! Nakuaminia ujue 🙇
Check pm nimekutumia🏃♂️🏃♂️Acha hizooo! Nakuaminia ujue 🙇
Hahaha taratibu tutablesianaHebu tu bless keku
Aaah wap sio kweli vnaishia story tu wengine wanafika mbali na mahusiano yanaanzia apo naongea from experience
Yaani jf km umeoa/umeolewa mwenza wako akipita humu akaona hizi hekaheka unaweza pigwa,kumbe story tu
Sio kweli wengine wanatafutana mie mume wangu mtu wangu yupo umu dm zake za jamii forum ni balaa wanachat wanapeana namba wameanzisha na mahusiano kabisa unakuja shtuka too late, taratibu ntawataja umu wanajijuaStress free. Ondoa magonjwa nyemelezi. Ni stori 100% watu wenyewe ni anonymous
Ipo siku ntakisanua umu wataaibika watu..Hebu tu bless keku
Ndo kuwa Makin sababu nmeshaona chating zake na yy mda mrefu mapicha mnatumiana,,Sasa ntazianika Mana it's too muchMbna najua ameoa na ana familia kitambo mwayaa, relaaaaaaxxxxxxxx.
![]()
Kama unajua ameoa kinachokufanya umuombe pesa ni nn Kama sio nyege hzoMbna najua ameoa na ana familia kitambo mwayaa, relaaaaaaxxxxxxxx.
![]()
Hi. Mammy😁Hi Omulasil😀
Kausha. Utachoma nguru😂Sio kweli wengine wanatafutana mie mume wangu mtu wangu yupo umu dm zake za jamii forum ni balaa wanachat wanapeana namba wameanzisha na mahusiano kabisa unakuja shtuka too late, taratibu ntawataja umu wanajijua
Ipo siku ntakisanua umu wataaibika watu..
Sawa sawa ,Mwamba umetisha
Mule mule ,aisee nina zawadi yako ya x massHappy Sunday great thinkers 🙏
T-shirt white ,jeans yq blue ,,simple lkn umeua bestHappy Sunday great thinkers 🙏
Sio kweli wengine wanatafutana mie mume wangu mtu wangu yupo umu dm zake za jamii forum ni balaa wanachat wanapeana namba wameanzisha na mahusiano kabisa unakuja shtuka too late, taratibu ntawataja umu wanajijua



aloooo😍Nkamu, upo?Happy Sunday great thinkers 🙏
Nipo my church girl, uko poa wewe?😍Nkamu, upo?
Kitambo sana sijakuona humu
Hujatupia😍Nkamu, upo?
Kitambo sana sijakuona humu
Thank you TresorT-shirt white ,jeans yq blue ,,simple lkn umeua best
Umependeza sana na ka umbo fulani hv amazingThank you Tresor