Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,320
- 16,562
mali safi kabisa

maua ya jamiiforums#ThrowBack View attachment 2846986

mkuu vitu kama hivi weka na namba za simu



Mbona na wewe ua, tena la pink! Tupia iko kipink flower bhasi 🌷maua ya jamiiforums![]()
Tuma za enzi za Patel, kwani hukupiga picha na watoto wa kidosi?! 😂😂😂Aiseeeh
Uchoyo tu.
Ujue niliona ila sikuelewa🤣🤣🙌Acha tyuu!! Nimekuta manjegeka km yotree!! 😂😂😂
Jamani hebu nitafutie juxJux atakuwa kashaanza kuja huku uswekweni, si unajua kasema pilau la Christmas anakuja kula kwako 😂😂😂
Uzi huu sikuutembelea km siku 2, Leo naingia nakutana na hekaheka. 😂😂😂Ujue niliona ila sikuelewa🤣🤣🙌
Itakuwa Jux kanyakuliwa na kina Asha jibwa 😂😂😂Jamani hebu nitafutie jux
Sa birthday itakuwaje 🤣🤣
Au kashadakwa na watt wa uswazi
tupia kapicha babeAcha kutafuta kiki c uwataje kenge madoa weye![]()
Mji mzito in warumi (rip) voice😂😂😂😂😂 mji mzito nyie
Ila Antonnia udugu tabia mbaya sijapenda, kweli umeshindwa kuniita?!
Mama weeeee🙌😅🙄Itakuwa Jux kanyakuliwa na kina Asha jibwa 😂😂😂
Hivi penzi lenu liliishia wapi? 😂😂😂tupia kapicha babe
yeye ndo analiendesha muulize😂Hivi penzi lenu liliishia wapi? 😂😂😂
Nizitupe...?😁Pete za vidole vya miguu best huwa zinaleta mihemko
😂😂😂😂 Hivi unajua hata id yake nimeisahau!! Hebu ikumbuke tumuite tujue yuko wapi? Km kafichwa twende na polisi tukamtoe km yule diwani na AshuraMama weeeee🙌😅🙄