Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Nyoka yupiMi napenda wanyama ,wadudu wasiouma lakin nyoka simpendii namuogopa hatariii
Nyoka yupiMi napenda wanyama ,wadudu wasiouma lakin nyoka simpendii namuogopa hatariii
Hili ua linaninyanyasa sana
Yeah forest Hill moro, wakishua wapi wengine sisi tulivamia kambi.Aaaah wakishua haoo, forest hill morogoro
Hukunishtua mapema mbonaaaa?😁😁
Tatizo ni kwamba 🌸 lenyewe linanipenda sana.😁Hili ua linaninyanyasa sana
Kapicha kazuri haka Dr. na huo mwanga wa jua kamakutoa chicha😍
Ondoa ua tu
Ili uongeze jua au ulizime??Hukunishtua mapema mbonaaaa?😁😁
😂😂😂😂Ili uongeze jua au ulizime??
Hahahah nilivamia kambi ya wenyewe,siko kwenye hiyo status ila nilikuwa jeuri tu.Yeah forest Hill moro, wakishua wapi wengine sisi tulivamia kambi.
Ngoja nikuitie wakishua wenyewe. Zulu man na nduguye Lamomy.
Aaiiii vibaya hivyo mwana! Sio mimi 😂😂😂Hahahah nilivamia kambi ya wenyewe,siko kwenye hiyo status ila nilikuwa jeuri tu.
Nina kumbukumbu zako pale morogoro hotel kama sikosei😉 au hukuwa wewe?.
Nikipata muda nitapitia vizuri kumbukumbu zangu(picha)🤣Aaiiii vibaya hivyo mwana! Sio mimi 😂😂😂
Ukaribie na lamomy huku mafichoni,niko siku nzima.Aaiiii vibaya hivyo mwana! Sio mimi 😂😂😂
Hivi Lamomy huyu kwanini anatukaribisha sehemu ya hivi sisi wawili? Kwamba tukapige stori tu ili iweje 😂Ukaribie na lamomy huku mafichoni,niko siku nzima.
Kuspend siku nzima na lamomy hapana🤣🙌Hivi Lamomy huyu kwanini anatukaribisha sehemu ya hivi sisi wawili? Kwamba tukapige stori tu ili iweje 😂
Mi nataka utukaribishe kila mtu na muda wake 🤣🤣🤣🤦🏻♀️
Huey! 🙂Lizzy
Jazmine Du Bois. How are you?Huey! 🙂
☺️☺️Jazmine Du Bois. How are you?
Glad to hear that. I'm grinding too.☺️☺️
I'm pushing through! How is you?