Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,320
- 16,563
Bwana country hafuatiliii ya utotoni🤣Mfyuuu!! 😂😂😂
Uniambie vizuri kama mliishia kugusanisha midomo pekee
Bwana country hafuatiliii ya utotoni🤣Mfyuuu!! 😂😂😂
😅😅NaogopaWee yupi huyo?! 😂😂😂
Emu mtaje kwanza nijue!! Sio Jux wa Tayana-wog
Weee hawatawezaAisee!! Hapo mama mchungaji ushaanza kupata upinzani 😂😂😂
Alikuwa coca, sasa kaongezeka binti kiziwi unalo
🫵
🫵
Umepata mfundaji😂😂🤣🤣🤣 Niachieni bibi yangu Fay
Hivi unajua lamomy kala ban 🙌🙌Naomba uchawi basi kidogo,kuna binadamu wananisumbua akili.
Ile ajali kidogo tu lakini nahisi nimerogwa🤣
Naona kala ban sijui kulikoni tenaUmepata mfundaji😂😂
Shida nini tena?Hivi unajua lamomy kala ban 🙌🙌
Km lisaa lililopita
Hata sielewi imekuwajeShida nini tena?
Noooo! Anaitwa chupa ya maji, nimemuona mara moja tu humu….Wee yupi huyo?! 😂😂😂
Emu mtaje kwanza nijue!! Sio Jux wa Tayana-wog
Hapana mdogo wangu mzuri…. Hapana kabisa 😂 wangu mkimuona huko muwe mnaniitia, anaitwa Chupa ya maji.
Hang’atiii? 🙄🥹
Hang’atiii? 🙄🥹
Hakutaki, njoo kwanguNoooo! Anaitwa chupa ya maji, nimemuona mara moja tu humu….
Umefanyaje hadi wamekutia ban mforest mwenza.
Dah! Unanisagia kunguni sana mwanangu! 😂Hakutaki, njoo kwangu