Tatizo Lughaaa mkuu 😊😊😊! Andika kiswahilii🤠🤠!Antonnia ,why it feel like you're vibin right by my side?naona JF kwa simu yako na handwriting hii au niitaje sehemu?
Is that really you or am I just trippin?
Nikufotoe na huyu dude mwenye kakitambi ?Tatizo Lughaaa mkuu 😊😊😊! Andika kiswahilii🤠🤠!
Uliponiona njoo saii unifotoe utupie asee!
Itajee sehemu
Oh nimekufananisha ila ngoja nikimbie ili eneo nikasubiri binadamu mwenzangu sehemu nyingine.🤣
Wee mi nipo Nyakibimbirii hapa naweka mkaa nipike Matoke unaniambia Onomo tena😊!Nikufotoe na huyu dude mwenye kakitambi ?
Si uko Onomo hapa 10th floor?🤣 unapekua JF?
Kama ni wewe angalia binadamu karibu na hizi xmass lights niko mpweke,niko na shoulder sling na unioneshe ishara nifike kuwapa "hi"
Hata mimi niko napika makande,mlenda nichape usingizi.Wee mi nipo Nyakibimbirii hapa naweka mkaa nipike Matoke unaniambia Onomo tena😊!
Nilisema nhiiiiii nikabeba ndizi yangu juu huku maneno ya Eleven stars yanaonekana vizuri ili unione😁😁😁!Hata mimi niko napika makande,mlenda nichape usingizi.
Nilikuwa nakutania tu wala siko hilo eneo😅.
Njoo kwangu nikuwekee ANTENANdiwooo
Ila kuna binti anatumia JF ,hakika mko warembo humu,mmebarikiwa🤣.Nilisema nhiiiiii nikabeba ndizi yangu juu huku maneno ya Eleven stars yanaonekana vizuri ili unione😁😁😁!
Hakika Jf imebarikiwa sanaIla kuna binti anatumia JF ,hakika mko warembo humu,mmebarikiwa🤣.
Kama ataona hii bhaaas enjoy hapo ulipo "O" msimu huu wa sikukuu.
Ili nigundue nini wee cuzo wa coca stakiii!Njoo kwangu nikuwekee ANTENA
Pete za vidole vya miguu best huwa zinaleta mihemko