cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,083
Utajua hujuii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeee. Utakuwa wewe ni mkweli. Kwahiyo wanakamua huku mi nalisha pumba sio?[emoji1787][emoji1787]
Utajua hujuii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeee. Utakuwa wewe ni mkweli. Kwahiyo wanakamua huku mi nalisha pumba sio?[emoji1787][emoji1787]
Ipi? Kibada, kisiwani, mwemberadu, darajani, msikiti wa wapemba au?Kigamboni
🤣🤣🤣👌Sitaki utaniMke wa tajiri umeanza kutufokea na mitupio yako classic 😍😍😍
Jentromani!!Unyama unaendeleaView attachment 2840118
Unachezea pesa za mgodini 😂😂🤣🤣🤣👌Sitaki utani
🙆 Unataka nivue?Me sioni naona emoj la mkofia
Watu na waume zenu mjinii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani vitu vya kuona baby wangu niweke hapa[emoji28]
Mi mwili wangu utuona kwenye nguo tu,vitu vyote vinasitiriwa kwa ajili ya mume wangu
Sina mwili wa maonyesho[emoji1787]
🤣😳🙄Jmn jmn nyieeeeNinaye treena dume lenye sifa zake haswa 🥰🥰🥰🥰
Mdogo angu coca niko kwenye penzi zito nimetekwa nikatekeka, huba limekolea nazi!👌
Hivi ushawahi kupapaswa kwa SAUTI?! Basi huyu shem wako ana sauti zito lenye ujazo la kiume liko so romantic🥰🥰, akiongea kwa bibi kunaloa!!
Kachukua sauti za ukoo mzima, sijawahi ku-experience before!! Mungu kaumba, mama mkwe kazaa?! Nyie sijui walipiga style gani wakati wanamtafuta huyu kiumbe?! Mbona wameleta balaa!! Nishaanza kuongea peke yangu na kujijibu mwenyewe njiani 😂😂😂
Kwanza nimekumbuka hivi tulisema mwanaume asiye na hela tuachane naye?
Me naomba mnitoe sio kwa mwanaume huyu hata mia yake siitaki!!! Mwambie sisy Joannah narudisha kadi. Kuanzia leo sio mwanachama wa money first 🤣🤣🤣
Halafu mlisema hakuna kuzaa bila ndoa?! Hapana siko pamoja na nyie, huyu namzalia mapema sana sio kwa raha hizi 🤸♀️😜
Km inawezekana🙆 Unataka nivue?
Tenaaaa👌😍🤣🤣🤣Watu na waume zenu mjinii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfyuuuuh!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli wauwawe [emoji23][emoji23][emoji23]
Umerogwaa wee sio bureee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninaye treena dume lenye sifa zake haswa [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mdogo angu coca niko kwenye penzi zito nimetekwa nikatekeka, huba limekolea nazi![emoji108]
Hivi ushawahi kupapaswa kwa SAUTI?! Basi huyu shem wako ana sauti zito lenye ujazo la kiume liko so romantic[emoji3059][emoji3059], akiongea kwa bibi kunaloa!!
Kachukua sauti za ukoo mzima, sijawahi ku-experience before!! Mungu kaumba, mama mkwe kazaa?! Nyie sijui walipiga style gani wakati wanamtafuta huyu kiumbe?! Mbona wameleta balaa!! Nishaanza kuongea peke yangu na kujijibu mwenyewe njiani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza nimekumbuka hivi tulisema mwanaume asiye na hela tuachane naye?
Me naomba mnitoe sio kwa mwanaume huyu hata mia yake siitaki!!! Mwambie sisy Joannah narudisha kadi. Kuanzia leo sio mwanachama wa money first [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu mlisema hakuna kuzaa bila ndoa?! Hapana siko pamoja na nyie, huyu namzalia mapema sana sio kwa raha hizi [emoji2222][emoji12]
Kwann?? [emoji23][emoji23][emoji23]Sikuiona hii reply.
Uchebeee,
😂😂😂😂 Acha shogare mwenzio naogelea kwenye bahari ya mapenzi. Shem wenu kajua kunishika nimeshikika. Sauti yake inasisimua kuanzia unyayo mpk mwisho wa ncha ya nywele 🥰🥰🥰🤣😳🙄Jmn jmn nyieeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongezaa sautiiii.Tenaaaa[emoji108][emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kupendwa rahaaaa
Wafe 😂😂😂Mfyuuuuh!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya liveeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamepatwaaa hukuuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha shogare mwenzio naogelea kwenye bahari ya mapenzi. Shem wenu kajua kunishika nimeshikika. Sauti yake inasisimua kuanzia unyayo mpk mwisho wa ncha ya nywele [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Kungwi nimepatikana sisikii, siambiwi. [emoji2222]
😀🤣Mambo ya liveeeee
Kujificha sio shida zako
Uko vzr jentromam tishaaa sanaa