We nakuona na coca 🤣🤣Hivi tulisema ni kesho? Au. ? Anyway hukuwasijue. Usifungue Pm nitakushtua nikuelezee kitu sasa ifunge kwanzamzuri wa Jf
Nilikua Bize kidogo kipenzi bila shaka nyote mpo vyedi humuWe mrembo umeadimika leo
Tuko poaa kipenziNilikua Bize kidogo kipenzi bila shaka nyote mpo vyedi humu
Ameniambia eti umempa ruhusa akutunzie?. Au. Ananidanganya?We nakuona na coca![]()
Ole wako.....@Lamomy Yuko vzr sn anakuja watch
Tamaa za fisi hizo ushaanza tajiri 😂😂😂Weee tulia kizuri kula na rafiki. Huyu nibrafiki wa Tayana-wag. Ameniruhusu
Kwakweli huyu nitampiga chini huyu 🤣🤣Tajiri tamaa hizo 😂😂😂
Shem Mjep mwizi wako huyu hapa
Sawa na mi nitamtunzia baby wake Mjep 🤣🤣Ameniambia eti umempa ruhusa akutunzie?. Au. Ananidanganya?
😂😂😂😂 na mivogue plus mibenz!! Babu ana hekaheka buanangoja ajee aanze kupost
za mlimani city.
Zinabamba balaaaa
Nafurahi kusikia hivo wapendwaTuko poaa kipenzi
Cocostic amesema ametumwa Tayana- wag ku watch tuTamaa za fisi hizo ushaanza tajiri
Haya lete pesa nikupe wote uende nao Zanzibar holiday wakaogelee na kasa
mchuchu unapenda vita kuliko chochoteMpk wanitibue ndio naingia chino 😂😂😂
Nawazoom wanavyoitana wakutane uhuru park Moro 😂😂😂Sema wewe ,kumbe umemuona ehh🤣🤣
Ngoja tu si ananichukulia poa shost coca🤣
toto zuriSamalekooo wapendwa 🖐️!
Waone nitakavyowaibukia Niko na Mjep 🤣🤣🤣Nawazoom wanavyoitana wakutane uhuru park Moro 😂😂😂
WabarakatuSamalekooo wapendwa 🖐️!
Heheeee🤣🤣🤣Cocostic amesema ametumwa Tayana- wag ku watch tu
Hahahahaaa. Nimeuona mpango wao watuvuruge halafu wafurahi. Tumeshtukia move yao
Kati ya vita na amani, nachagua vita 😂😂😂mchuchu unapenda vita kuliko chochote