Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,871
- 37,644
🤣🤣tajiri ni wakoo mama mtumishiiii.
Naomba uangalie pic ya Dr pls
🤣🤣tajiri ni wakoo mama mtumishiiii.





khaaaaahTayana-wag huyu muogope. Bora umeniambia umemshtukia. Huyu Majembe Auction.Piga chini nikuweke kwa Mpaji Mungu ukisema suu!! Anatupa pesa tutangulie Zanzibar tukamsubiri, yy amalize kuuza contena lake la miti ya xmass.


Dr atafanya coca avunje ndoa 😂😂😂Nilikuwa nasubiri comment yako
Mbavu zangu mie
Nimecheka 🙌🤣🤣
Dr ana balaaa
🤣🤣🤣🤣🙌Tayana-wag huyu muogope. Bora umeniambia umemshtukia. Huyu Majembe Auction.![]()
MotoUsiku mwema wapendwa.
Nikapumzishe fuvu langu sasa kwaleo inatosha!
#Lubega


🤣🤣🤣🤣🙌🙌🏃🏃🏃Mjep haibikiiiii,
Jamani tajiri ni wako bhanaa, sasa yeye eti anasema bado hajala tunda, mie nikasema wenzie wanakula na chumvi.
We nakuona na coca![]()
Ole wako.....@Lamomy Yuko vzr sn anakuja watch






😂😂😂😂 Naanzaje kushindwa?!!haha hivi kuna vita ambayo ulishindwa au zote umetoka na tko
Jenga uza huyo. Ukuta wa kupiga teke

ila usimununie. Jifanye uko naye


Mambo za Dr sijazielewa asee !😎
😂😂😂 uongo!! Tajiri anakuita mkutane uhuru park
Uwiiii ss unaachaje kuona Kwa mfanoPicha sioni kabisaaa, vipi ni fav yangu au ndo ntolee![]()
🤣🤣🤣
😂😂😂😂khaaaaah