Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shipa la babu miga uliwahi ona wapiii? Una kilanga weeyeee, ngoja aje.
😂😂😂😂 Babu miga nimemmiss na fake reports zake!!! E’m babu miga njoo bhana utuchangamshe kidogo wajukuu zako tumekumiss 🤣🤣
 
Kwahiyo unamuibia Tayana-wog danga lake mchana kweupe?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Coca juzi tyuu tumetoka kusuluhisha ndoa yako na Mjep leo umesahau km ulitaka kujirusha ghorofani ulivyoachwa?!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Tamaa hizo za pesa [emoji1787]
Weee tulia kizuri kula na rafiki. Huyu nibrafiki wa Tayana-wag. Ameniruhusu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu miga nimemmiss na fake reports zake!!! E’m babu miga njoo bhana utuchangamshe kidogo wajukuu zako tumekumiss [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ajee aanze kupost [emoji477]za mlimani city.
Zinabamba balaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mie simuibii, mie si mpambe wa mama mtumishi jamani, wee si ndo mshika pochiii?

Uduguuu nampenda Mjep wangu
Wewe unamponda mama mtumishi ili ujiweke 🤣🤣🤣 nimeona unasema eti kifuniko kimezibuliwa na wahuni cha mama mtumishi!!
Na tajiri naye kahamisha majeshi kaanza kufolu lavu kwako 😜
Nyie hili pic nalifatilia kwa makini hapa mjue?!!
 
Wewe unamponda mama mtumishi ili ujiweke 🤣🤣🤣 nimeona unasema eti kifuniko kimezibuliwa na wahuni cha mama mtumishi!!
Na tajiri naye kahamisha majeshi kaanza kufolu lavu kwako 😜
Nyie hili pic nalifatilia kwa makini hapa mjue?!!
Sema wewe ,kumbe umemuona ehh🤣🤣
Ngoja tu si ananichukulia poa shost coca🤣
 
Boom💥
 

Attachments

  • Screenshot_20231118-141234_Instagram.jpg
    Screenshot_20231118-141234_Instagram.jpg
    127.5 KB · Views: 12

Similar Discussions

Back
Top Bottom