Poapoa kipenziiiiUdugu nipe id yako ya insta fake tuwe tunacheka na vituko vya waja 😂😂😂
Naomba na mie niwa follow.Poapoa kipenziiii
Kamanda tunaomba hata picha ya kidole,pic halisi sio hiyo ya combat...kidole hiko chenye wedding ring binadamu wengine wapate wivu kuwavesha watu wao wa karibu😅Kwenye 1 na 2 😊
Usije kunibembeleza baadae
Kwan uko wapi?? Mpk unashindwa kupokea simu??

tulia basiSoon nataka nikubless urareee unonoo
🤣🤣🤣🤣 nitafute kesho
😂😂😂😂 umetishaNdio nimimi😁!
We kifua chako mbona km kuna tunyonyo 😂😂😂
Basi yaishe mkuu 😂😂😂
Nafungua dimbaView attachment 2817245
Sent using Jamii Forums mobile app
😋😋 dah! asee. acha niende kwenye ule uzi wangu pendwa
Kwa kweli uzee ushapiga hodi hii picha kwa msaada wa Snapchat😁😁🧐Wee kwa uzee gani labda wazee hutuoni hapa!😊!
Mtoto bado kabisa weye!
Gud gud 🤒🤒🤒nipo nipo kijana.mambo yanaendaje??
Gud gud 🤒🤒🤒nipo nipo kijana.mambo yanaendaje??
Pesa zenyewe anazo kwanza au kutusumbua![]()
Gud gud![]()