Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Cha umbea wewe๐๐๐Mbona hujanipa feedback sasa bro?!!
Wifi ushaonana naye ๐๐๐
Cha umbea wewe๐๐๐Mbona hujanipa feedback sasa bro?!!
Wifi ushaonana naye ๐๐๐
Darling
Hiyo boot mama mchungaji wewe ya nini lkn? Mbona unatuchanganya wanakondoo?!


Udugu tubless hips bas ๐Nougaaa sanaa kipenzi!๐๐!
Sina jipyaaa uduguuu!Udugu tubless hips bas ๐
Nani anaweza kuvaa uchi?
Ngoja niulize ๐คฃ Lamomy itakua bei gani hii?How much![]()
Nataka fupi kiasiNougaaa sanaa kipenzi!๐๐!
HalooooHiyo boot mama mchungaji wewe ya nini lkn? Mbona unatuchanganya wanakondoo?!
Haya ngoja nikuitie mista Tlaatlaah huyu hana longolongo ana pesa nyingi afu ni baba mchungaji.
Mnaweza mkayajenga pia!! ๐๐
Ngoja nipite naked ๐๐๐Sina jipyaaa uduguuu!
๐๐๐ Mama mchungaji uliyechangamkaHaloooo
Kwamba sbb ma mchungaji ndo nivae sketi ya marinda na skuna ๐ณ๐mbona hunipendi jmn....๐คฃ
Mpendwa hizi ndo code zangu japo navaa na trousers ๐ ๐
Naona kuna mwamba kaulizia price hapo!Nataka fupi kiasi
Haya niitieni wanaume humu ndani wanunue๐
Sawa uduguuu nasubiria hapa kipenzi!Ngoja nipite naked ๐๐๐
We yako iko wapi??๐๐๐Mbona watu hamtupii picha badala yake mnastorika tuu?? ๐