Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,461
- 829,841
- Thread starter
- #2,101
Wewe acha. Nitaku-pmToa bhana 😂😂😂
Charity begans at homeMbona watu hamtupii picha badala yake mnastorika tuu??![]()
Watajijua wenyewe usiwajali!!hapa wana jf wananichora tu siku nikijichanganya watatumia picha yangu kama fimbo ya kunichapia😁
Pm yangu mods wameifunga!!Wewe acha. Nitaku-pm
Mtani malengo ya uzi yanapindishwa
😳😳😳 Umekuwa treni?Viwili sister
Oooi hapana. Mwendo ni huhuuPm yangu mod wameifunga!!
Niwekee hapa afu nikiangalia unafuta chap 😂😂😂
Yeah hujakosea. Gari moshi yaani😳😳😳 Umekuwa treni?
😁😁😁Watajijua wenyewe usiwajali!!
Kwanza wana uhakika gani km ni wewe kweli?!!!
Achana nao, ebu tupia 😂😂😂
We Mudi mbona pic haifungukiUsiamini kila unachokiona hapa shemeji yenu alinivuta sana mpak kunipeleka photoshot
View attachment 2819955
Nilinyuka vitu hatari sana Leo ungeniona usingenijua🤣🤣
😍😍😍😍 kaka muddy umetokelezea afu body kali!! Unanyanyua na chuma eee?!!Usiamini kila unachokiona hapa shemeji yenu alinivuta sana mpak kunipeleka photoshot
View attachment 2819955
😁Pandisha camera juu 😜
I mean no malice to nobodyBro weka acha kujizungusha
Waache wajiachie mtani walikuwa gerezaniMtani malengo ya uzi yanapindishwa
😁😁😁😍😍😍😍 kaka muddy umetokelezea afu body kali!! Unanyanyua na chuma eee?!!