Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Atume pesa tuagize wenyewe bhana!!
Akileta vikitubana? Si unajua size za viatu hazieleweki utashangaa normal cut au big cut!!! Yeye atoe mpunga 🤣🤣🤣🤣
Asubirie pic boot ikiwa imevaliwa
Nalo nenoooo🤣
Km boot yangu ni 40 ,sijui ni ya nchi gani
Shida ya hizi mambo ndo inaanziaga hapo!
America,UK etc Kila nchi no zake
Haya boss
 
😂😂😂 Hapo naona analeta story za Abunuwasi tyuu!!
Eti akununulie mwenyewe kisha akutumie!!!
Mwambie akupe kibunda utanunua mwenyewe. Kule dukani utaomba na discount tuchenchi tukibaki unanunua na kichambuu jeans au sio?!!
Jeans ya kuvalia hiyo boot au sio
Yaani una akili sn
🤣Una kitu utafika mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom