Dreams LLC
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 449
- 513
Nashukuru sana mkuu,namaliza mwaka kwa burdan taam ya hivi vitabu.Ancient Greek Tales.
Wengine ni Hekili, Yasoni, Anteo ,Orpeo(malenga) na Atlas. Pia wapo miungu wa kiume na wa kike(gods and goddesses) bila kuwasahau mazimwi(monsters) kama Gorgo na dada zake, joka la Andromeda na Sirens, wale wadada watatu ambao sauti zao tamu huvutia meli kuvunjika juu ya miamba.
Utajifunza mengi na kuburudika zaidi kama utasoma The Iliad na The Odyssey vya Homer. PDF zake zipo google.
Ubarikiwe mkuu