James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,112
- 13,344
Nilimaanisha hard copy. Vingi vya tz ni hard copyHapana mkuu sema tu sijafanikiwa kuvipata, au kama unavyo vizuri vipandishe hapa tupakue
Nilimaanisha hard copy. Vingi vya tz ni hard copyHapana mkuu sema tu sijafanikiwa kuvipata, au kama unavyo vizuri vipandishe hapa tupakue
OK poa mkuu, nilijua unazo soft copyNilimaanisha hard copy. Vingi vya tz ni hard copy
Dah kijana alchemist is considered one of the kind bonge moja last kitabuu....all in all huyu mwandishi tupo vizuri kimalize utakuja hadithiawhat the hell with "the alchemist"
kila napoanza kukisoma nakiacha kwa yale majivuno ya mwandishi page za mwanzoni-
Grisham sijswahi ona novel yake isiyo ya sheria.
Mkuu kama upo Dar naomba nifanye kuvolunteer kwenye project unayofanya.
Nataka kupanua cv yangu kwa kuingia field.