Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Ingia telegram tafuta kuna channel kibao za kudownload vitabuApp gani ina vitabu vzr?
Ingia telegram tafuta kuna channel kibao za kudownload vitabuApp gani ina vitabu vzr?
Asante mkuu,mwaka wangu lazima utakuwa na mabadiliko +,nimeenda nimeipata library,Ingia telegram tafuta kuna channel kibao za kudownload vitabu

Pamoja sana mkuu, baadhi ya channel ni kama hiyo ya kwanza na hizo mbili za mwisho hapoAsante mkuu,mwaka wangu laIma utakuwa na mabadiliko +
I have idea kwa nini tusi unde group la Whatsapp liwe kama club ya usomaji vitabuPamoja sana mkuu, baadhi ya channel ni kama hiyo ya kwanza na hizo mbili za mwisho hapo![]()
Hilo group la pili kutoka mwisho ni group la wanajamiiForum, humo utapata vitabu vingi na kupeana updates juu ya usomaji, unachotakiwa kufanya ni kujiunga na telegram.I have idea kwa nini tusi unde group la Whatsapp liwe kama club ya usomaji vitabu
Mkuu unaweza kuwa na softcopy ya HIGH PERFOMANCE HABIT by BRENDON BURCHARD1.The alchemist.
2. Mindset
3. 7habits of highly effective families
4. Obstacle is the way
5. As a man thinketh
6. Thinking fast and slow
7. The one thing.
8. The 4-hour workweek.
9. Critical thinking.
10. 13 things mentally strong people don't do.
11. How to influence people.
12. The subtle art of not giving a ****.
13. No excuses.
14. Mastery
15. The way of a superior man
16. Man's search for meaning.
17. Pridictably irrational
18. How to analyze people
19. Alice in wonderland
20. The slight edge.
21. Cash flow quadrant.
22. Long Walk to freedom (Nelson Mandela ).hiki ndiyo cha mwisho sasa niko page ya 250 out of 750....
Nawashauri ndugu zangu tusome vitabu,faida zake ni kubwa sana kuliko tunavyodhani.
Hicho sina mkuu, ila nikipata nitakiweka hapaMkuu unaweza kuwa na softcopy ya HIGH PERFOMANCE HABIT by BRENDON BURCHARD
Hilo group la pili kutoka mwisho ni group la wanajamiiForum, humo utapata vitabu vingi na kupeana updates juu ya usomaji, unachotakiwa kufanya ni kujiunga na telegram.
Pole sana mkuu,naomba jitahidi uidownload telegram iko Google play store, wala haina process nyingi... Ni kama WhatsApp tu.Kwasisi tusiotumia Tele hatuna msaada!
By the way, thread hii imeniamsha. Mwaka 2017 naweza kuwa sijasoma kitabu chochote maana nilidhani niko busy sana, lakini 2016 nilisoma vitabu kadhaa.
Shukran mkuu pamoja sana!Hicho sina mkuu, ila nikipata nitakiweka hapa
Pole sana mkuu,naomba jitahidi uidownload telegram iko Google play store, wala haina process nyingi... Ni kama WhatsApp tu.
Kwa ios sifahamu mkuu,kuhusu WhatsApp group watu wengi wanaogopa sababu huko hakuna privacy sana kaama telegramAsante, nitajitahidi. Japo niliipakua miaka miwili iliyopita nikajikuta haijanivutia kubaki nayo. Hamna namna nyingine ya kupata vitabu hasa kwa iOS user.
Na pia wazo la whatsapp sio baya kwa kubadilishana uzoefu
Kwa ios sifahamu mkuu,kuhusu WhatsApp group watu wengi wanaogopa sababu huko hakuna privacy sana kaama telegram
Poa mkuuOk, asante. Ngoja niipakue tu tele
