Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
habari wakuu? ni mwisho wa mwaka na wakati wa kujitathmini kuhusu usomaji wetu wa vitabu wa mwaka mzima.
kwa upande wangu mwaka huu haukuwa mzuri kiusomaji wa vitabu. nilikuwa na project ya kuandika na kutafiti ambayo mpaka sasa sijaimaliza. nilifanikiwa kusoma kitabu kimoja tu na vingine viwili huwa navipitiapitia mara kwa mara kama reference.
1.The Rogue Lawyer cha john Grisham.
Hii ni Novel nzuri sana ya sheria, inamhusu mwanasheria amabaye alikuwa anatetea washtakiwa wa kesi za hatarihatari na ambayo wanasheria wengine hawataki kuzigusa. mara nyingi kesi hizi zilikuwa zinamtia matatizoni. ni kizuri sana, kama movie vile, kinasema somaga tu.
2. Vingine ambavyo huwa napitia mara kwa mara ni Lets play checkers na how to win at checkers. mi ni mpenzi wa drafti hivyo huwa naangaliaangalia namna ya kucheza kwenye hivyo vitabu. kama wewe ni mpenzi wa drafti vitafute vitakufaa sana.
wewe umesoma vitabu gani mwaka 2017? share nasi. Malcom Lumumba , MSEZA MKULU et al.