Eng.Dullah
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 372
- 304
Hiki hapa
Ni kweli nakubaliana na wewe mkuu, ila kufanyia kazi unayosoma kwenye vitabu wala haihitaji nguvu nyingi sana,kusoma kunaongeza ufafamu kwahiyo sio lazima utumie njia za kwenye vitabu ulivyosoma kutatua matatizo ya kila siku,ila uwezo wako wa kudeal na life problems utakuwa tofauti na layman,siku zote wanasoma no knowledge is wasted ni kweli kabisa,binafsi usomaji wa vitabu umenisaidia sana tena sana sio kwenye maisha ya kawaida hata kipindi niko chuo,badala ya kusoma PowerPoint mimi nilikuwa napenda kusoma vitabu.Mmmh ni kweli kusoma vitabu kunafsida, kwanza unasisimka unapopata kitabu kipya Kwaajir ya shahuku kujua yaliyomo pia unaenjoy unaposoma.unapanua ufahamu pia lkn nadhani kutumia muda mrefu mno kusoma tu badala ya kuwa na muda kutumia ufahamu uloupata... mmmh nisawa na kuishi kwa nadharia tu badala ya vitendo.
Sioni kama ni sifa kusoma vitabu kibao ili Uwe kinara wa mijadala flaniflan tu...
Samahan kwa kunatisha fikra zangu kwenye ujumbe wako![]()
Hilo halina shaka kabisa sisi watanzania ni wavivu kupindukia,tuna knowledge kidogo sana lakini ujuaji mwingi....Mwaka juzi sikusoma hata kimoja ila mwaka jana nilikomaa na hivi...
The windmill od gods cha hardley chase
The alchemist
Tuache utan watanzania hatupendi kusoma vitabu....
Mwaka jana nimesoma novel 2 (hapa sijaweka vitabu vya field yangu)...mwaka huu nitajitahidi nisome kuanzia 3 kwenda juu!!! it can be done!!Hilo halina shaka kabisa sisi watanzania ni wavivu kupindukia,tuna knowledge kidogo sana lakini ujuaji mwingi....
Sure, but always remember willpower is not always on will callMwaka jana nimesoma novel 2 (hapa sijaweka vitabu vya field yangu)...mwaka huu nitajitahidi nisome kuanzia 3 kwenda juu!!! it can be done!!


Umesoma hivi vyote ? Kama ndiyo hongera sana.1.The alchemist.
2. Mindset
3. 7habits of highly effective families
4. Obstacle is the way
5. As a man thinketh
6. Thinking fast and slow
7. The one thing.
8. The 4-hour workweek.
9. Critical thinking.
10.13 things mentally strong people don't do.
11. How to influence people.
12. The subtle art of not giving a ****.
13. No excuses.
14. Mastery
15. The way of a superior man
16. Man's search for meaning.
17. Pridictably irrational
18. How to analyze people
19. Alice in wonderland
20. The slight edge.
21. Cash flow quadrant.
22. Long Walk to freedom (Nelson Mandela ).hiki ndiyo cha mwisho sasa niko page ya 250 out of 750....
Nawashauri ndugu zangu tusome vitabu,faida zake ni kubwa sana kuliko tunavyodhani.
Asante mkuuUmesoma hivi vyote ? Kama ndiyo hongera sana.
Fuata maelezo ya post zilizopita hapo juuHuna softcopy za novels mkuu?anyone to help?
Nina access ya hard copy ya hicho cha Mandela na Ton Blair lakini vinanipa uvivu kila nikiangalia udadi ya pages nimeushia kuangalia picha tuu lakini mwaka huu ntajitahidi sana1.The alchemist.
2. Mindset
3. 7habits of highly effective families
4. Obstacle is the way
5. As a man thinketh
6. Thinking fast and slow
7. The one thing.
8. The 4-hour workweek.
9. Critical thinking.
10.13 things mentally strong people don't do.
11. How to influence people.
12. The subtle art of not giving a ****.
13. No excuses.
14. Mastery
15. The way of a superior man
16. Man's search for meaning.
17. Pridictably irrational
18. How to analyze people
19. Alice in wonderland
20. The slight edge.
21. Cash flow quadrant.
22. Long Walk to freedom (Nelson Mandela ).hiki ndiyo cha mwisho sasa niko page ya 250 out of 750....
Nawashauri ndugu zangu tusome vitabu,faida zake ni kubwa sana kuliko tunavyodhani.
Hicho cha Mandela ndio nakisoma kwasasa, ni kizuri sana. Nikimaliza hicho nasoma cha Ernesto Che GuevaraNina access ya hard copy ya hicho cha Mandela na Ton Blair lakini vinanipa uvivu kila nikiangalia udadi ya pages nimeushia kuangalia picha tuu lakini mwaka huu ntajitahidi sana
Hongera. Vya watanzania havikuvutii sana inaonekanaHicho cha Mandela ndio nakisoma kwasasa, ni kizuri sana. Nikimaliza hicho nasoma cha Ernesto Che Guevara
Hapana mkuu sema tu sijafanikiwa kuvipata, au kama unavyo vizuri vipandishe hapa tupakueHongera. Vya watanzania havikuvutii sana inaonekana