Umeshawahi kutenda wema na ukakutokea puani?

Umeshawahi kutenda wema na ukakutokea puani?

Duh, kwa hiyo nyumba yote iliungua? Na wewe ulijuaje kama ushahidi aliufuta kwa namna hiyo?
Alikosea step wakati wakuchoma badala ya kulusha njiti ya kiberiti cha moto akiwa nje alichoma akiwa ndani kwahyo ata yeye aliungua tukampleka hospital wakati amelazwa ndo tukaanza kupata mashaidi mpaka wa sehemu ya mpesa alipoenda kutuma hzo pesa.
 
Alikosea step wakati wakuchoma badala ya kulusha njiti ya kiberiti cha moto akiwa nje alichoma akiwa ndani kwahyo ata yeye aliungua tukampleka hospital wakati amelazwa ndo tukaanza kupata mashaidi mpaka wa sehemu ya mpesa alipoenda kutuma hzo pesa.
Duh, mzee ilikuaje sasa, ina maana vitu vyako viliungua vyote kabisa au majirani walifanikiwa kuzima?
Na ulimchukulia hatua gani?
 
Hii kitu niliwai kuiona siku moja nazani jamaa alichukua mahali malaya sasa yule malaya akazingua basi jamaa alimpiga sana then akamtupa kwenye shimo la takataka asubui tunaamka tukamkuta huyo demu kwenye shimo tukajua kafa nabae akaanza kujigeuza geuza hakuna mtu aliyesubutu kupiga simu polisi wala kumgusa tulimuacha humo humo manake kwa sheria zetu zilivyo za kisenge ukijifanya kumsaidia kumpeleka hospitali akifia njiani wako huyo
Dah aisee mkuu, inasikitisha sana. Kwa hiyo mkamfanyia ukatili wa kutokumsaidia. Ukweli ni kwamba mda mwingine mtu anataman amsaidie mwngne lkn kwa sababu ya sheria zetu za ajabu zinazosimamiwa na watu wajinga wasio na elimu na ufaham wa kutosha unatiwa hatian kizembe.
Kwa hiyo ni mwendo wa roho ngumu tu mpaka tutakapookolewa
 
Duh, mzee ilikuaje sasa, ina maana vitu vyako viliungua vyote kabisa au majirani walifanikiwa kuzima?
Na ulimchukulia hatua gani?
Ile nyumba tulikuwa tunapanga watatu akuna ata aliyetoa kikombe. Nilifungua kesi ila niliposikia kwamba ata akikutwa na kosa atafungwa ila mm sitolipwa mahakamani sikuludi tena. Kwahyo hakimu aliita ile kesi mara tatu mimi sikwenda ila kwa maneno niliyoongea mwanzoni wakati kesi inaanza nadhani hakimu alilizika nayo kwahyo alimfunga miaka minane.
 
nilikuwa nafanya kazi mahali sasa kulikuwa na mwenzangu tunafanya nae kazi lakini ilitokea akawa anachukiwa sana na mke wa boss kutokana tu na sababu za wivu wa kike. sasa nilikuwa namuhurumia sana kutokana na jinsi alivyokuwa ananyanyaswa, ikatokea mimi nikapata kazi mahali pengine ambapo kwenye hiyo ofice nikapewa kuwa supervisor wa wafanyakazi wengine, yani akitoka boss ndio mimi, kwa huruma zangu nikamfanyia mpango yule mwenzangu aliyekuwa ananyanyasika kule akaja akapata kazi pale nilipokuwa, nikamfundisha kazi mpaka akaiva haswaa, aisee alianza kuyapika majungu ya hatari kuanzia kwa boss mpaka wafanyakazi wengine, nilichukiwa na kila mtu bila kosa, nikashangaa tu napewa likizo,na boss mpaka hapo nitakapoitwa, huwezi amini ndio ilikuwa mwisho wa kibarua changu na yeye akachukua nafasi yangu. sitasahau hili jambo mpaka nakufa
[emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Jamaa alichukua mkopo bank baadae mambo yakamwendea sivyo marejesho ya mwisho mwisho yakamshinda..bank wakataka kuuza nyumba yake mshikaji kaja kanieleza kwa uchungu mbya yaan Jamaa alivyokua anaeleza mpaka nikamurumia aisee

Akaniomba kiasi cha pesa kwa ahadi ya kunirudishia kabla ya siku 2 mm nikampatia maana ni rafiki Wa kitambo hapa mjini,.. Ikapita siku2,wiki,mwezi sasa ni miezi karibu 6 kila nikimuliza majibu ninayopewa ni bora angeniambia nimpe bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakujibuje mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm wakati nimemaliza chuo kuna dogo wa kijijini kwetu nilimkuta mjini anaangaika na shughuli ngumu nikamchukua tukawa tunaishi wote kama ndugu. Siku moja kwenye kazai zake anazofanya akapungukiwa laki sita akaja kwangu kunikopa nikampa, pale nyumbani nilikuwa napesa natunza ndani kama milioni na laki nne hv siku moja nipo kazini dogo kaiba ile ela alafu kama kufuta ushaidi kanunua petroli nyumba akaitia kiberiti. Toka siku hyo moyo wa kusaidia uliishia hapo.
We jamaa muongo
 
Aisee mkuu pole sana..ila nina swali, mwaka 1996 simu zilikuwa adimu sana, mawasiliano ilikuwa ni kwa barua au simu za public zile, ambazo nazo zilikuwa adimu mno

huyo mdogo wako unasema ulikuwa unampigia mnaongea mara nyingine akawa hapatikani, ina maana alikuwa na simu wakati umeonyesha ndio alikuwa anaanza maisha?
Me niliona kama nikiuliza nitakuwa nimeharibu.huu uzi nikaamua kutulia ila we umeuuliza kwa heshima na hekima kubwa sana
 
Yamenitokea sana kipindi nina hela za kufa mtu.
Kifupi waswahili wengi ni kama mbuzi. Epuka kumsaidia mswahili hata kama ni ndugu yako. Utalia...
Kama unataka kumsaidia mtu. Msaidie mkeo na mwanao wa kumzaa na wazazi wako. FULL STOP
ukibakisha chakula katupe jalalani wale mbwa
Mkuu ngum kumeza hii.huenda ni matter of time ntakuja kuku elewa one day?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mda jamaa wa Radio Upendo FM anaitwa John Pazia ameiweka leo ktk kipindi chake kinachorushwa kila siku saanane mchana. Nilimsikia nikasema hiiii...hahaaaaaa...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Yamenitokea sana kipindi nina hela za kufa mtu.
Kifupi waswahili wengi ni kama mbuzi. Epuka kumsaidia mswahili hata kama ni ndugu yako. Utalia...
Kama unataka kumsaidia mtu. Msaidie mkeo na mwanao wa kumzaa na wazazi wako. FULL STOP
ukibakisha chakula katupe jalalani wale mbwa
Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom