Umeshawahi kutenda wema na ukakutokea puani?

Dafugwadu

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
4,733
Reaction score
5,251
Habari za Jumapili wakuu?

Kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna baadhi tu ya mambo ambayo unaweza kuamua kuyafanya kwa moyo mmoja yaani ukaona kabisa hapa natenda wema na malipo ni kwa Mungu ila binadamu mwenzio ni shukrani tu.

Lakini kinyume chake ukajikuta unajuta siku nzima au pengine wiki/mwezi/na hata mwaka. Mimi binafsi ni visa vingi lakini kubwa kuliko ni hili la juzi Jumanne.

Nilikuwa natoka misele yangu jioni ya saa kumi mtaani nikakuta kuna kuku anakimbia huku mguuni amezongwa na mfuko mweusi wa nylon anapiga kelele balaa.

Nikamkamata na kumtoa ulemfuko.
Bwana bwana!! Asee kilichofuata kama sio busara za mtu anayenifahamu vyema na jinsi nilivyowasimulia tukio lote leo hii ningekuwa nauguza majeraha.

Nimekoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa alikuwa anafanya kazi Afrika Magharibi katika shirika la UN. Siku moja akampata lift mwanamke. Wakati wa kumtelemsha yule mwanamke akaomba pesa nyingi - tena kwa nguvu. Yule jamaa akashangaa na of course akakataa. Yule mama akaanza kupiga kelele kuwa huwezi kulala nami usiku mzima halafu usinilipe hela yangu... Watu wakakusanyika. Likawa zogo kubwa. Akashauriwa kulipa ili ayamalize yasifike ofisini kwake. Na alifanya hivyo na kuruhusiwa kuondoka...
 
Kuna jamaa alikuwa anafanya kazi Afrika Magharibi katika shirika la UN. Siku moja akampata lift mwanamke. Wakati wa kumtelemsha yule mwanamke akaomba pesa nyingi - kwa nguvu. Yule jamaa akashangaa na off course akakataa. Yule mama akaanza kupiga kelele kuwa huwezi kulala nami usiku mzima halafu usinilipe hela yangu... Watu wakakusanyika. Likawa zogo kubwa. Akashauriwa kulipa ili ayamalize. Na alifanya hivyo na kuruhusiwa kuondoka...
😞😞..pole yake
 
Kuna jamaa alikuwa anafanya kazi Afrika Magharibi katika shirika la UN. Siku moja akampata lift mwanamke. Wakati wa kumtelemsha yule mwanamke akaomba pesa nyingi - tena kwa nguvu. Yule jamaa akashangaa na of course akakataa. Yule mama akaanza kupiga kelele kuwa huwezi kulala nami usiku mzima halafu usinilipe hela yangu... Watu wakakusanyika. Likawa zogo kubwa. Akashauriwa kulipa ili ayamalize yasifike ofisini kwake. Na alifanya hivyo na kuruhusiwa kuondoka...
Kirahisi hivyo
 
Hii imewatokea watu wengi sana. Tuwe makini kuwapa lift wanawake
Kuna jamaa alikuwa anafanya kazi Afrika Magharibi katika shirika la UN. Siku moja akampata lift mwanamke. Wakati wa kumtelemsha yule mwanamke akaomba pesa nyingi - tena kwa nguvu. Yule jamaa akashangaa na of course akakataa. Yule mama akaanza kupiga kelele kuwa huwezi kulala nami usiku mzima halafu usinilipe hela yangu... Watu wakakusanyika. Likawa zogo kubwa. Akashauriwa kulipa ili ayamalize yasifike ofisini kwake. Na alifanya hivyo na kuruhusiwa kuondoka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do your homework

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi si mtabiri.Ngoja nijitahidi.Ulihisiwa mwizi wa kuku.Mwanamke akapiga yowe.Ukakamatwa na kupewa kipigo cha kishangazi kama mbwa koko.Ukafungwa kamba miguuni na mikononi.Ulilia sana huku umeweka mdomo juu kama mbwa kaona wachawi.Yule mwanamke akakutetea na kutoa ushahidi kwamba alidhani unataka kuiba au kubaka kuku kumbe alihisi vibaya.Wakakuacha.Ulikimbia sana hadi nyumbani kwa shemeji yako ulipofikia.Nimeweza kufanya homework yangu boss?
 
Hahaahaa hebu ngoja niendelee kucheka kwanza.

Similar Discussions

Back
Top Bottom