Nilkuwa m/kiti wa kikundi chetu cha mambo ya fedha, sasa kama m/kiti ndio natoa fedha na nakupokea.
Sasa mtu X alikuwa anaumwa akashindwa kuniletea hela, halafu mtu Y alikuwa anataka ile hela, nikamwambia sijapewa na mtu X kaifuate uchukue, basi mtu Y akaifata ile hela, ikapita miezi miwili mtu Y akawa anaumwa na hela anatakiwa apewe mtu X, nikamwabia mtu X hela sijapewa na mtu Y kaichukue ile hela,
Aisee sikuamini alichonambia kuwa hawez kuifata hela anaitaka, wakati miez miwili yeye alikuwa anaumwa ndo tumetoka kuifata kwake badaala alete yeye, lkn leo mwenzake anaumwa hataki hata kusikia !!