- Thread starter
- #21
Fanya umalizie kisa chako.Ilikuwaje?Kama ulionewa tukate rufaa mkuu.
Binadamu hawana wema hata utende vip kuna watu wana roho wanazijua wenyeweHabari za Jumapili wakuu?
Kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna baadhi tu ya mambo ambayo unaweza kuamua kuyafanya kwa moyo mmoja yaani ukaona kabisa hapa natenda wema na malipo ni kwa Mungu ila binadamu mwenzio ni shukrani tu.
Lakini kinyume chake ukajikuta unajuta siku nzima au pengine wiki/mwezi/na hata mwaka. Mimi binafsi ni visa vingi lakini kubwa kuliko ni hili la juzi Jumanne.
Nilikuwa natoka misele yangu jioni ya saa kumi mtaani nikakuta kuna kuku anakimbia huku mguuni amezongwa na mfuko mweusi wa nylon anapiga kelele balaa.
Nikamkamata na kumtoa ulemfuko.
Bwana bwana!! Asee kilichofuata kama sio busara za mtu anayenifahamu vyema na jinsi nilivyowasimulia tukio lote leo hii ningekuwa nauguza majeraha.
Nimekoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya umalizie kisa chako.Ilikuwaje?Kama ulionewa tukate rufaa mkuu.
Habari za Jumapili wakuu?
Kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna baadhi tu ya mambo ambayo unaweza kuamua kuyafanya kwa moyo mmoja yaani ukaona kabisa hapa natenda wema na malipo ni kwa Mungu ila binadamu mwenzio ni shukrani tu.
Lakini kinyume chake ukajikuta unajuta siku nzima au pengine wiki/mwezi/na hata mwaka. Mimi binafsi ni visa vingi lakini kubwa kuliko ni hili la juzi Jumanne.
Nilikuwa natoka misele yangu jioni ya saa kumi mtaani nikakuta kuna kuku anakimbia huku mguuni amezongwa na mfuko mweusi wa nylon anapiga kelele balaa.
Nikamkamata na kumtoa ulemfuko.
Bwana bwana!! Asee kilichofuata kama sio busara za mtu anayenifahamu vyema na jinsi nilivyowasimulia tukio lote leo hii ningekuwa nauguza majeraha.
Nimekoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu leo mmepatwa na nini?Mbona hammalizii visa vyenu?Nilikuwa natembea zangu kwa miguu,nikamkuta mdada na mark x yake kaharibikiwa gari haiwaki na pia ana pancha ya tairi la mbele,basi kwa kutaka sifa nikamshughulikia tatizo lake ndani ya muda mfupi..bwana weeee kilichonikutaa....!!!
Miaka ya nyuma nikiwa namuendesha meneja wa tbl tukafika sehemu tukakuta jamaa kagongwa na gari na amaetelekezwa meneja akasema tumchukue tumpeleke polisi kufika kituoni kibao kikasoma ni kwamba sisi ndiyo tumemgonga na hajitambui afande wachukue maelezo weka ndani ilikuwa ni saa 4 asubuhi Kuja kueleweka saa 10 jioni mzungu wa watu alilaani sana mpaka leo hii huwa sitaki kujifanya mwema make Mikasa mingi sanaMara kadhaa
Huwa napuuza nakusonga mbele
Miaka ya nyuma nikiwa namuendesha meneja wa tbl tukafika sehemu tukakuta jamaa kagongwa na gari na amaetelekezwa meneja akasema tumchukue tumpeleke polisi kufika kituoni kibao kikasoma ni kwamba sisi ndiyo tumemgonga na hajitambui afande wachukue maelezo weka ndani ilikuwa ni saa 4 asubuhi Kuja kueleweka saa 10 jioni mzungu wa watu alilaani sana mpaka leo hii huwa sitaki kujifanya mwema make Mikasa mingi sana
Acha uongo.Kwenye hizo kesi hata sheria haujajifunza?2015 nilimpa kura mbunge wa chadema mpaka Leo hajalipa shukurani ya maendeleo kila siku ni kesi tu
Nimekoma
**** ww2015 nilimpa kura mbunge wa chadema mpaka Leo hajalipa shukurani ya maendeleo kila siku ni kesi tu
Nimekoma
Na Tena nikishaona jambo litahusisha polisiP
Pole sana mkuu
Hebu funguka mkuu, hapa tunatumia fake ID hatujuaniYamenitokea sana kipindi nina hela za kufa mtu.
Kifupi waswahili wengi ni kama mbuzi. Epuka kumsaidia mswahili hata kama ni ndugu yako. Utalia...
Kama unataka kumsaidia mtu. Msaidie mkeo na mwanao wa kumzaa na wazazi wako. FULL STOP
ukibakisha chakula katupe jalalani wale mbwa
Hawa watu sijui wamekuwaje!Kukaa na kero moyoni ni kama kuitunza sumu mwilini. Wanahatarisha afya zao hawa.Hebu funguka mkuu, hapa tunatumia fake ID hatujuani
Hiii ishawahi kunitokea mpaka kesho siwezi kumpa lifti mtu nisie mjuaKuna jamaa alikuwa anafanya kazi Afrika Magharibi katika shirika la UN. Siku moja akampata lift mwanamke. Wakati wa kumtelemsha yule mwanamke akaomba pesa nyingi - tena kwa nguvu. Yule jamaa akashangaa na of course akakataa. Yule mama akaanza kupiga kelele kuwa huwezi kulala nami usiku mzima halafu usinilipe hela yangu... Watu wakakusanyika. Likawa zogo kubwa. Akashauriwa kulipa ili ayamalize yasifike ofisini kwake. Na alifanya hivyo na kuruhusiwa kuondoka...