SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Hiyo ndio formula yangu. Na huwa hawarudi.Inakera sana mtu wanakuja kwako kukopa huku anakulilia shida yake. Kwa huruma unamkopesha (pengine kwa kiwango alichoomba maana unajua atarudisha) kwa ahadi ya kurudishia pesa yako ndani ya muda Fulani (mara nyingi ahadi inakuwa ya kipindi kifupi), lakini ukishampa hiyo hela sahau kuridishiwa....! Utaanza kupigwa sound miezi na miezi!
Ila nimejifunza pia. Mara zote mtu akiomba kukopa kiasi fulani kama nina nia na uwezo wa kumsaidia basi nampa nusu au pungufu ya nusu ya kila alichoomba kutegemea na amount. Kwa kifupi unamkopesha kiwango ambacho nipo tayari kukipoteza kama asipolipa na roho isiniume sana.
Sent using Jamii Forums mobile app