Umeshawahi kutenda wema na ukakutokea puani?

Mie msaada nilitoa mwaka 1996 kimeniweka chini mpaka leo hii kwa maradhi na mikosi.Mdogo wangu kwa mama mdogo aliniomba aishi kwenye nyumba yangu kwa kuwa mie nilikuwa naenda kufanya kazi ktk mkoa mwingine nikamkubalia kwa kuwa anaanza maisha ngoja akae angalau mwaka hivi itakuta ameshajipanga ,halo kuumbe huyu bwanamdogo kaanza tu kutengeneza hati kwa kwa lengo la kunidhulumu nyumba na kwenda kwa waganga bariadi lengo nife abaki na nyumba. Baada ya mwaka kumalizika nikampia simu kumwomba atoke sasa ili niipangishe lakini naye akaniomba kwamba nimpangishie nimwachie tu mwezi huu tu ili mwezi ujao alipe kodi ya miezi 6. Mwezi ukaisha nikapiga simu simu haipatikani nikatuma dada yangu, akamwambia kesho namtumia pesa na kusema kwamba simu yake iko kwa fundi. Sikupata pesa hizo ikapita wiki dadayangu akaenda tena kwake, alimjibu kwa ujeuri na kumwambia asimfuate tena. Ghafla nikaanza kuugua mguu wa kulia ..ndugu wana jf tokea muda huo mpaka leo hii mie ni mgonjwa na nimeeleza kidogo tu nikiwa nimelala chali
Mkuu sasa nawewe si uende kwa wataalam hangaika aisee usikate tamaa kizembe
 
Kuna Jamaa alichukua mkopo bank baadae mambo yakamwendea sivyo marejesho ya mwisho mwisho yakamshinda..bank wakataka kuuza nyumba yake mshikaji kaja kanieleza kwa uchungu mbya yaan Jamaa alivyokua anaeleza mpaka nikamurumia aisee

Akaniomba kiasi cha pesa kwa ahadi ya kunirudishia kabla ya siku 2 mm nikampatia maana ni rafiki Wa kitambo hapa mjini,.. Ikapita siku2,wiki,mwezi sasa ni miezi karibu 6 kila nikimuliza majibu ninayopewa ni bora angeniambia nimpe bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kuandikishana na mtu anaechukua pesa kwako.
This is a lesson to all
 
Yamenitokea sana kipindi nina hela za kufa mtu.
Kifupi waswahili wengi ni kama mbuzi. Epuka kumsaidia mswahili hata kama ni ndugu yako. Utalia...
Kama unataka kumsaidia mtu. Msaidie mkeo na mwanao wa kumzaa na wazazi wako. FULL STOP
ukibakisha chakula katupe jalalani wale mbwa
Hahahaahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilikuwa nafanya kazi mahali sasa kulikuwa na mwenzangu tunafanya nae kazi lakini ilitokea akawa anachukiwa sana na mke wa boss kutokana tu na sababu za wivu wa kike. sasa nilikuwa namuhurumia sana kutokana na jinsi alivyokuwa ananyanyaswa, ikatokea mimi nikapata kazi mahali pengine ambapo kwenye hiyo ofice nikapewa kuwa supervisor wa wafanyakazi wengine, yani akitoka boss ndio mimi, kwa huruma zangu nikamfanyia mpango yule mwenzangu aliyekuwa ananyanyasika kule akaja akapata kazi pale nilipokuwa, nikamfundisha kazi mpaka akaiva haswaa, aisee alianza kuyapika majungu ya hatari kuanzia kwa boss mpaka wafanyakazi wengine, nilichukiwa na kila mtu bila kosa, nikashangaa tu napewa likizo,na boss mpaka hapo nitakapoitwa, huwezi amini ndio ilikuwa mwisho wa kibarua changu na yeye akachukua nafasi yangu. sitasahau hili jambo mpaka nakufa
Duh pole... Hakika mwili umesisimka kwa ulivyo tendewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm wakati nimemaliza chuo kuna dogo wa kijijini kwetu nilimkuta mjini anaangaika na shughuli ngumu nikamchukua tukawa tunaishi wote kama ndugu. Siku moja kwenye kazai zake anazofanya akapungukiwa laki sita akaja kwangu kunikopa nikampa, pale nyumbani nilikuwa napesa natunza ndani kama milioni na laki nne hv siku moja nipo kazini dogo kaiba ile ela alafu kama kufuta ushaidi kanunua petroli nyumba akaitia kiberiti. Toka siku hyo moyo wa kusaidia uliishia hapo.
 
Mkuu kuna mtu uwezi ata kumtilia shaka yaani ni MTU mmekua marafiki Wa mda kiasi kwamba ata ukiwaza kuandikiana unaona uvivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu maana hata ndugu wanaingizana mjini siku hizi. Ila inauma sana.
Kuna mtoto wa kaka yangu nimemsaidia laki 2 akiwa hoi bin taabani, ana familia ya watoto wawili, kaenda mbaali kufanya biashara na mimi nimempa pesa ya serikali kwa ahadi ya kurudishiwa baada ya wiki 2.
Huyo bwana kafanya biashara kafanikiwa sana. Lakini ajabu ni mwaka wa 3 sasa pesa hataki kulipa!
Nimemkumbusha wee mpaka nimeona nampigia mbuzi kengele!
Nimeamua kufuta namba zake nisijue kabisa kama yupo!
(Bad debt written off-damn) pesa yangu imeniuma sana
 
nilikuwa nafanya kazi mahali sasa kulikuwa na mwenzangu tunafanya nae kazi lakini ilitokea akawa anachukiwa sana na mke wa boss kutokana tu na sababu za wivu wa kike. sasa nilikuwa namuhurumia sana kutokana na jinsi alivyokuwa ananyanyaswa, ikatokea mimi nikapata kazi mahali pengine ambapo kwenye hiyo ofice nikapewa kuwa supervisor wa wafanyakazi wengine, yani akitoka boss ndio mimi, kwa huruma zangu nikamfanyia mpango yule mwenzangu aliyekuwa ananyanyasika kule akaja akapata kazi pale nilipokuwa, nikamfundisha kazi mpaka akaiva haswaa, aisee alianza kuyapika majungu ya hatari kuanzia kwa boss mpaka wafanyakazi wengine, nilichukiwa na kila mtu bila kosa, nikashangaa tu napewa likizo,na boss mpaka hapo nitakapoitwa, huwezi amini ndio ilikuwa mwisho wa kibarua changu na yeye akachukua nafasi yangu. sitasahau hili jambo mpaka nakufa
Aisee... God forbid ilaa huyo jamaa ningemfanyia Unyamaa ambao asingesahau maisha yake yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh! Pole sana ndugu..

Kuna uzi humu
Mie msaada nilitoa mwaka 1996 kimeniweka chini mpaka leo hii kwa maradhi na mikosi.Mdogo wangu kwa mama mdogo aliniomba aishi kwenye nyumba yangu kwa kuwa mie nilikuwa naenda kufanya kazi ktk mkoa mwingine nikamkubalia kwa kuwa anaanza maisha ngoja akae angalau mwaka hivi itakuta ameshajipanga ,halo kuumbe huyu bwanamdogo kaanza tu kutengeneza hati kwa kwa lengo la kunidhulumu nyumba na kwenda kwa waganga bariadi lengo nife abaki na nyumba. Baada ya mwaka kumalizika nikampia simu kumwomba atoke sasa ili niipangishe lakini naye akaniomba kwamba nimpangishie nimwachie tu mwezi huu tu ili mwezi ujao alipe kodi ya miezi 6. Mwezi ukaisha nikapiga simu simu haipatikani nikatuma dada yangu, akamwambia kesho namtumia pesa na kusema kwamba simu yake iko kwa fundi. Sikupata pesa hizo ikapita wiki dadayangu akaenda tena kwake, alimjibu kwa ujeuri na kumwambia asimfuate tena. Ghafla nikaanza kuugua mguu wa kulia ..ndugu wana jf tokea muda huo mpaka leo hii mie ni mgonjwa na nimeeleza kidogo tu nikiwa nimelala chali
Pole sana ndugu binadamu tunaroho za kishetani sana.

Ila kama kuna mchezo Wa kichawi umechezewa bado ujachelewe muombe MUNGU mwenye uruma na kwa uruma yake atakutoa kwenye huo mtego Wa muofu na mwisho wabaya wako watabaki na aibu ya milele...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm wakati nimemaliza chuo kuna dogo wa kijijini kwetu nilimkuta mjini anaangaika na shughuli ngumu nikamchukua tukawa tunaishi wote kama ndugu. Siku moja kwenye kazai zake anazofanya akapungukiwa laki sita akaja kwangu kunikopa nikampa, pale nyumbani nilikuwa napesa natunza ndani kama milioni na laki nne hv siku moja nipo kazini dogo kaiba ile ela alafu kama kufuta ushaidi kanunua petroli nyumba akaitia kiberiti. Toka siku hyo moyo wa kusaidia uliishia hapo.
Yesu khaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Wee jamaa unasema kweli????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu nimeshahangaika sana na funga na kuomba na sometime naenda kwa watalaam kunywa mitishamba kwani inanisaidia sana hasa kupunguza sumu mwilini. Ingawa ni ugonjwa unaohama wiki moja mabega yataniuma sana, wiki inayofuata mbavu kwa ndani itanichoma sana wiki inayofuata miguu au kiuno itaniuma sanani nk, Lakini namshukuru Mungu sana kwani bila hivyo ningeshakuwa marehemu ingawa bado nafanana na nusu marehemu kwani hakuna ninachowezakupata huyu shit alinifanyia fitina kubwa mno ingawa NAYE ameshafariki. Alikuwa polisi Dodoma pale akaanza tabia yake ya kudhulumu kiwanja cha mkulima mmoja huko haikuchukua muda akaja kutibiwa hapa Muhimbili haikuchukua round mie mnyonge wake akafa mkononi mwangu wakati namuuguza. Tukachukua maiti tukapereka polisi dodoma kwa ajili ya kuaga then tukampereka nyumbani kuzika.
 
Mie msaada nilitoa mwaka 1996 kimeniweka chini mpaka leo hii kwa maradhi na mikosi.Mdogo wangu kwa mama mdogo aliniomba aishi kwenye nyumba yangu kwa kuwa mie nilikuwa naenda kufanya kazi ktk mkoa mwingine nikamkubalia kwa kuwa anaanza maisha ngoja akae angalau mwaka hivi itakuta ameshajipanga ,halo kuumbe huyu bwanamdogo kaanza tu kutengeneza hati kwa kwa lengo la kunidhulumu nyumba na kwenda kwa waganga bariadi lengo nife abaki na nyumba. Baada ya mwaka kumalizika nikampia simu kumwomba atoke sasa ili niipangishe lakini naye akaniomba kwamba nimpangishie nimwachie tu mwezi huu tu ili mwezi ujao alipe kodi ya miezi 6. Mwezi ukaisha nikapiga simu simu haipatikani nikatuma dada yangu, akamwambia kesho namtumia pesa na kusema kwamba simu yake iko kwa fundi. Sikupata pesa hizo ikapita wiki dadayangu akaenda tena kwake, alimjibu kwa ujeuri na kumwambia asimfuate tena. Ghafla nikaanza kuugua mguu wa kulia ..ndugu wana jf tokea muda huo mpaka leo hii mie ni mgonjwa na nimeeleza kidogo tu nikiwa nimelala chali
Aisee mkuu pole sana..ila nina swali, mwaka 1996 simu zilikuwa adimu sana, mawasiliano ilikuwa ni kwa barua au simu za public zile, ambazo nazo zilikuwa adimu mno

huyo mdogo wako unasema ulikuwa unampigia mnaongea mara nyingine akawa hapatikani, ina maana alikuwa na simu wakati umeonyesha ndio alikuwa anaanza maisha?
 
Mm wakati nimemaliza chuo kuna dogo wa kijijini kwetu nilimkuta mjini anaangaika na shughuli ngumu nikamchukua tukawa tunaishi wote kama ndugu. Siku moja kwenye kazai zake anazofanya akapungukiwa laki sita akaja kwangu kunikopa nikampa, pale nyumbani nilikuwa napesa natunza ndani kama milioni na laki nne hv siku moja nipo kazini dogo kaiba ile ela alafu kama kufuta ushaidi kanunua petroli nyumba akaitia kiberiti. Toka siku hyo moyo wa kusaidia uliishia hapo.
Duh, kwa hiyo nyumba yote iliungua? Na wewe ulijuaje kama ushahidi aliufuta kwa namna hiyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom