Umeshawahi kutekwa? Ladies be very careful

Umeshawahi kutekwa? Ladies be very careful

Aisee pole....wkt naanza kazi nilikua nazipanda asubuhi..siku nikichelewa mara chache sana usiku nilikua napanda but mostly daladala usiku...siku moja nilikuta km kinoah hivi kimepaki kina abiria watatu...wawili mbele ambao ni dereva na mwanamke...nyuma mmoja...ila nilivyopanda roho ilikua inanisuta..wasiwasi mwingi...nikawa nawaangalia wale watu....mmmh roho inataaa kabisaa inaniambia shuka shuka..shuka shukaa...nashukuru Mungu mm pia huwa nasali sanaa...nikasema ngoja niisikilize tu...nikashuka.nikaenda kupanda daladala...moyoni najiuliza kwann siku ile iwe vile..na wakt huwa napandaga..nikisikiaga mikasa km hii naanza kuvuta hisia....kumbe huenda na mm yangenikuta...Mungu ni mwaminifu kusali ni muhimu jamani

Mshukuru sana Mungu, you never know walikuwa na lengo gani.
 
Pole sana. Haya matukio ni mengi na ninakuhakikishia baadhi ya polisi wanajua. Iloshamtokea mtumishi mwenzetu mama mtu mzima sana ila naye maombi yalimwokoa. Imagine mmoja wa watekaji alikuwa ni mwanamke.
 
vits ya mlango 1? Kuangalia plate namba ukiwa ndani ya gari, how? Walimweusi ni binti?

Anyway, sijui nisemeje kwa sasa.
 
ahahaaa siwezi ningeshafanya hivo siku nyingi....yaani hiyo lift ya vitz labda unilipe

Duuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!! natamani ningekufahamu zaidi ya hapa.....Kavitz kangu kananisave lakini, mara moja nafika nitakapo na kurudi, tena kananusa mafuta yaani ya elfu 10 hadi unasahau upande ulipo mfuniko wa tank la mafuta. Please Smile even a little bit to agree with me.
 
bado hujatoa sadaka tu??...hapo kwenye swala la "kubaka" mmmh!
 
Ukisoma katikati ya mistari unaona kabisa jinsi dada WALIMWEUSI alivyoonja bitterness ya utekwaji.
Natoa pole Sana kwako dadaangu, maana kwa kusoma maandishi tu mtu atajua kuwa katika hali ya kawaida uko makini na aware ya environment. Mimi naku'rate kuwa uko well above the everage kiakili.
Tukio hilo ni bahati mbaya parse, na mshukuru sn Mungu kwamba hukufanyiwa tendo la kubakwa au kuumizwa au hata kuuawa.
Thanks kwamba umekuwa darasa kwa wengine, japokuwa nimeona kuna watu wanaleta kejeli kwenye thread educative kama hii, nadhani ni addiction ya Chit-chat. Nimeboreka na mchangiaji anayedharau aina ya gari fulani bila kufikiria factors zinazomfanya mtu anunue aina hiyo ya gari.

Naamini kumtanguliza kwako Mungu kulikusaidia kukuepusha na hatari za roho na za Mwili.
Thanks again for the alert.
wewe chair hebu nipishe huko......
 
Unajua mkuu ukiwa na kuanzia milioni 7 unaweza kupata gari ya uhakika ambayo haitakusumbua lakini kwa hela hiyo huwezi hata kusimamisha vyumba viwili hapa DSM. Na wakati huo huo unapata kazi za ziada ofcn au hata z anje ya kiofisi unashindwa kwa kuhofia usafiri wa usiku hatari, unapishana na hela wakati mwenzio mwenye hata Glanza ya Milion 6 anazichanga kama hana akili nzuri mwisho wa siku anakuzunguka kipato na nyumba ya uhakika anajenga wakati aliyeanza na kibanda hata umeme bado hajaweka.

Unashindwa hata kujichanganganya kwenye shughuli za kijamii ujulikane sababu ukiulizwa unasema mbali huko usafiri taabu. Bongo hii riziki ya mtu iko mikononi mwa mtu bila ya kujichanganya na watu utaipata wapi.

Mosi kuna baadhi ya kazi utapishana nazo kutokana na ratiba ya kazi kuisha usiku au hata wasikuajiri kutokana na kutokuwa na Kavitz, pili tulio wengi tumeanza au tunaanza kujenga maeneo ambayo bado ni interior kiasi hamna usafiri kama ilivyo kati kati ya jiji hivyo kavitz katakusaidia usafiri wa kwenda mara kwa mara kusimamia ujenzi na hata kulinda kiwanja kwani ukichelewa kimeondoka. Mwisho bila kupepesa macho gari sio anasa kama wadhanivyo baadhi ya watu ila ni basic need ambayo kila mtu anapaswa kupambana kuipata kama ilivyo chakula na malazi.
 
Nimefurahi kwani baada ya tatizo umejua weakness zako coz, wadada wengi mnapenda lift kama huna gari kuna public transport.
 
sasa wewe unanunua gri huna nyumba, utalipaki wapi mzee? au utalipaki ccm?

Habari za asubuhi? Umeamkaje? Ungenifuatilia toka mwanzo ungenielewa, lakini kwa kukusaidia tu uliyeingia sasa hivi ni kwamba nilianza na gari nikiwa na malengo yangu na hiyo gari ikanifanya nifike kweye dili zangu kwa wakati na likazaa nyumba ya maana Mbezi Beach na gari jingine la type yangu kwa wakati husika.

Kama huna malengo na gari utaishia kuwa na mawazo kama hayo, utapigwa vimemo kila siku na wakuu wako sababu ya uchelewaji mwisho na kazi ukose kisa unadunduliza umalizie kibanda kwanza.

Upo hapo? vinginevyo unakaribishwa kama una swali lingine.
 
vits ya mlango 1? Kuangalia plate namba ukiwa ndani ya gari, how? Walimweusi ni binti?

Anyway, sijui nisemeje kwa sasa.

Kongosho nawe una akili nyingi mno kiasi zinakukanganya.

-Vitz ya mlango mmoja, ndiyo!
Hii inategemeana tu na abiria wa kawaida anavyoiona na macho, ingawa kiufundi ile ni ya milango 3! ...bt ina mlango mmoja ubavuni!

-Yes, inawezekana kabisa kuona namba za gari ukiwa ndani ya gari maana huwa sometimes huwa zinaandikwa kwenye vioo vyote pamoja na site-mirrors za gari, na ndicho alichojaribu kufanya huyu dada! tabu iko wapi?

-kuhusu jina, mmhh! hv ile agenda ya jinsia yako iliishiaga wapi, muafaka ulipatikana?
Nakumbuka kuna wakati hadi ulikosa zawadi ya JF Lady of Year 2011~kwa sababu ya utata!
Ha ha haa! [joke!]
 
Last edited by a moderator:
Mosi kuna baadhi ya kazi utapishana nazo kutokana na ratiba ya kazi kuisha usiku au hata wasikuajiri kutokana na kutokuwa na Kavitz, pili tulio wengi tumeanza au tunaanza kujenga maeneo ambayo bado ni interior kiasi hamna usafiri kama ilivyo kati kati ya jiji hivyo kavitz katakusaidia usafiri wa kwenda mara kwa mara kusimamia ujenzi na hata kulinda kiwanja kwani ukichelewa kimeondoka. Mwisho bila kupepesa macho gari sio anasa kama wadhanivyo baadhi ya watu ila ni basic need ambayo kila mtu anapaswa kupambana kuipata kama ilivyo chakula na malazi.
Kama uliniona enzi hizo 1999 sijapata usafiri nilifanikiwa kupata shamba eka mbili kwa bei rahisi sana kibamba mwisho sehemu moja inaitwa mpiji. Nauli ya taksi kwenda huko baada ya kushuka daladala kibamba mwisho mpaka huko ilikuwa shilingi elfu kumi kwenda tu elfu kumi kurudi nyingine na bado unaachwa ng'ambo ya mto unatakiwa uvuke utembee kwa mguu kama kilomita moja hivi.

Kuna wakati hela ilinipiga chenga kidogo hivyo sikufika huko kwa kama mwaka na nusu hivi. Kilichoniokoa ni simu ya jirani niliyoiandika kwenye mkataba wa mauzo ndiyo iliyotumika na mjumbe kunitaarifu kuwa kuna mtu anakimendea kiwanja chako njooo haraka.

Na wakati huo simu ilikuwa ni anasa kuwa nayo, je kama simu ilikuwa anasa lile shamba ningekuwa nalo leo, je kama ningekuwana usafiri hayo yote yangetokea?
 
pole sana dada umetufundisha na wengine sala ni muhim and bible tusisahau kusoma
 
pole sana WALIMWEUSI. Mshukuru Mungu kwa kukusaidia... Asante kwa kushare nasi tujifunze. Nakubaliana nawe kila kitu kinatokea kwa sababu na sio bahati mbaya (kuna mtu alipost uzi wa namna hii juzi kati nimemsahau jina).
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada yangu.

1. Hayo mambo yanatokea mara kwa mara maeneo ya Posta. Mtindo wa private cars, tax kwa bei chee unaliza watu kila siku.

2. Wakati huo sijapata usafiri wangu niliwaambia watu kwamba nitanunua gari kabla hata ya kujenga nyumba. Wengi kwa wakati huo walinipinga lakini kadri siku zinavyosonga mbele ndivyo ukweli unadhihiri kwamba gari si anasa tena ni kama ilivyo simu ya mkononi sasa hivi, ni moja ya TOOLS za kutafutia pesa nyingine zaidi.

Leo hii hata nikiamua kufanya kazi zangu za ziada ofisini au nje ya ofisi sina wasiwasi wa kukosa usafiri hata usiku wa manane.

Kwa DSM gari ni muhimu sana sana.. kama mtu una uwezo wa kuhangaika ukapata na walao gharama za kulihudumia zipo ni bora kununua uondokane na kadhia hizo
 
Habari za asubuhi? Umeamkaje? Ungenifuatilia toka mwanzo ungenielewa, lakini kwa kukusaidia tu uliyeingia sasa hivi ni kwamba nilianza na gari nikiwa na malengo yangu na hiyo gari ikanifanya nifike kweye dili zangu kwa wakati na likazaa nyumba ya maana Mbezi Beach na gari jingine la type yangu kwa wakati husika.

Kama huna malengo na gari utaishia kuwa na mawazo kama hayo, utapigwa vimemo kila siku na wakuu wako sababu ya uchelewaji mwisho na kazi ukose kisa unadunduliza umalizie kibanda kwanza.

Upo hapo? vinginevyo unakaribishwa kama una swali lingine.
aaaah wapi, siwezii kuwa na swali lingine, nimekosa cha kufanya? we kula zako hamsini katafute ugali wako na familia yako tu, kila mtu anajua maisha yake anaishije, punguza hasira wala sina muda wa kufuatilia maisha yako mimi. i was just expressing my opinions!
 
Habari za asubuhi? Umeamkaje? Ungenifuatilia toka mwanzo ungenielewa, lakini kwa kukusaidia tu uliyeingia sasa hivi ni kwamba nilianza na gari nikiwa na malengo yangu na hiyo gari ikanifanya nifike kweye dili zangu kwa wakati na likazaa nyumba ya maana Mbezi Beach na gari jingine la type yangu kwa wakati husika.

Kama huna malengo na gari utaishia kuwa na mawazo kama hayo, utapigwa vimemo kila siku na wakuu wako sababu ya uchelewaji mwisho na kazi ukose kisa unadunduliza umalizie kibanda kwanza.

Upo hapo? vinginevyo unakaribishwa kama una swali lingine.

my king majibu yako tu mie hoi........
 
Kwa maelezo haya ngoja nimpe pole tu

Lakini kwa kweli kanichanganya sana, siku hizi jinsia imepotea kabisa:smile-big:

Kongosho nawe una akili nyingi mno kiasi zinakukanganya.

-Vitz ya mlango mmoja, ndiyo!
Hii inategemeana tu na abiria wa kawaida anavyoiona na macho, ingawa kiufundi ile ni ya milango 3! ...bt ina mlango mmoja ubavuni!

-Yes, inawezekana kabisa kuona namba za gari ukiwa ndani ya gari maana huwa sometimes huwa zinaandikwa kwenye vioo vyote pamoja na site-mirrors za gari, na ndicho alichojaribu kufanya huyu dada! tabu iko wapi?

-kuhusu jina, mmhh! hv ile agenda ya jinsia yako iliishiaga wapi, muafaka ulipatikana?
Nakumbuka kuna wakati hadi ulikosa zawadi ya JF Lady of Year 2011~kwa sababu ya utata!
Ha ha haa! [joke!]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom