HOJA Makondakta wapewe elimu ya kujali wateja (customer care)

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Joined
Jun 16, 2024
Posts
48
Reaction score
59
Moja kati ya kazi zenye watoa huduma wasiojua kujali wateja ni makondakta wa daladala

1: Kuwa wakali sana kwa wateja au abiria
Hii ni moja kati ya kero kubwa sana kwa abiria hawa jamaa hawajali kama wanaongea na mtu mzima au mtoto kazi yao ni kufoka tu hata ukidai chenji kitu ambacho ni haki yako

2: Usafi
Japo kuwa wanavaa sare ila zinakuwa ni chakavu sana na wakati mwingine hata kutoa harufu

3: Kuvuta sigara/ bangi
Kiukweli hawavuti sigara wakiwa ndani ya gari ila huwa wanasubiri maeneo ya kusubiria abiria then wanaenda nje ya gari hususani nyuma ya gari wanavuta bila kujua kwamba moshi unasambaa na wakati mwingine huwa unafikia abiria kitu ambacho ni hatari sana kwa afya.

Hayo ni maoni yangu
 
Fanya mazoezi
vaa vizuri
ongea kwa nidhamu
Heshimu ulichonacho halafu kaa nyuma ya 💺 uone kama konda atakuja huko kula msuba,

Kuhusu usafi kwa upande wake mimi nadhani maafisa wa usalama barabarani wanazingatia zile bulu tanotano tu.
 
Moja kati ya kazi zenye watoa huduma wasiojua kujali wateja ni makondakta wa daladala

1: Kuwa wakali sana kwa wateja au abiria
Hii ni moja kati ya kero kubwa sana kwa abiria hawa jamaa hawajali kama wanaongea na mtu mzima au mtoto kazi yao ni kufoka tu hata ukidai chenji kitu ambacho ni haki yako

2: Usafi
Japo kuwa wanavaa sare ila zinakuwa ni chakavu sana na wakati mwingine hata kutoa harufu

3: Kuvuta sigara/ bangi
Kiukweli hawavuti sigara wakiwa ndani ya gari ila huwa wanasubiri maeneo ya kusubiria abiria then wanaenda nje ya gari hususani nyuma ya gari wanavuta bila kujua kwamba moshi unasambaa na wakati mwingine huwa unafikia abiria kitu ambacho ni hatari sana kwa afya.

Hayo ni maoni yangu
Wanavuta sigara bwege!
 
Abiria kwanza wapelekwe milembe, maana stress zao wanapenda zipumulia kwa hao ma cashier!! Abiria waache kuwa dharau hao ma cashier wa magari!
Cashier akiwa mnyonge anaweza nauli hata asipate
 
Back
Top Bottom