Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,741
- 9,646
Amakweli tembea uone.
Katika harakati zangu za kuvizia bandari zenu, nimekuja huku visiwani. Awali nilikuwa nahofia sana majuba nikajua ndani yake wapo mabikira safi au wake za watu.
Baada ya siku mbili tatu nikabonga na mwenyeji fulani akaniambia wataka mwanamke? Nikasema naaam, akasema hilo limeisha.
Si akaita binti mmoja aliyekuwa anapita kama masiara akamwambia ongea na jamaa hapo, bila hiana nikatupa nyavu palepale akakubali, jioni nikala mzigo.
Sasa baada ya kuuliza wanaokuja mara kwa mara huku wakaniambia hiyo ardhi si wazungu si waarabu si wazenji weusi wote wanagawa utamu nje nje.
Astakafhlah.