grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Ya kupitia Uclas au ile ya Ubungo Tanesco Malkia?Njia panda ya chuo UDSM,ntakusubria leo
Ya kupitia Uclas au ile ya Ubungo Tanesco Malkia?Njia panda ya chuo UDSM,ntakusubria leo
Kumbe na wewe wakati mwingine unadanganya? Labda kama unachukuaga mazoezi.Pole mwaya,hizi lift hizi zitakuja kutuua mie siku hizi
nasimamaga kituoni hadi nahis miguu kuingia ndani,ila its better that way
kumbe na wewe wakati mwingine unadanganya? Labda kama unachukuaga mazoezi.
ya kupitia uclas au ile ya ubungo tanesco malkia?
Wewe wa kusubiria daladala toka lini labda kama limepata pancha.nimedanganya nini tena my king..........
Hapo kwenye bold kuna ukweli kwani nilishughudia siku moja maeneo ya mwenge m2 anadondoshwa kwa gari na gari kutoka mbio na tulipomsogelea alikuwa anamalizia sekunde zake za mwisho wa hai wake.NOTE: Kuna watu walionilaumu na pia mtanilaumu kwamba I was stupid kwa kuchukua uamuzi wa kupanda hilo gari but kwangu mimi nafahamu kuwa everthing happens with reasons! Kwa namna moja au nyingine Mungu alitaka kunifundisha kitu mimi pamoja na wengine/wewe unaesoma huu uzi. Binadamu wengi siku hizi wamekuwa sio wema kabisa! Kuna tetesi kuwa wengine wanawateka watu na sio kwamba wanawapora ila wanawaua na kuwatoa kafara! Please be careful especially wadada mana sie ndo tupo kwenye risk coz we cant fight back.
Hivi ile baa ya sisimizi bado inaoparate? Kuna wakati ilisuasua sababu ya ujenzi wa barabara.ile ya ubungo tanesco my king
duh pole ila me vitz sipandi aisee bora nitembee kwa mguu!
ni wewe bwana mi sipandi gari za watu ovyo ovyo ...wewe kama una vitz zenu hizo hata kama ninanyeshewa mvua niache tu ...maana sipandiUsiseme hivi my sister, mbona wengine tunapanda na tunaambiwa tuna magari???
Pole sana dada yangu.
1. Hayo mambo yanatokea mara kwa mara maeneo ya Posta. Mtindo wa private cars, tax kwa bei chee unaliza watu kila siku.
2. Wakati huo sijapata usafiri wangu niliwaambia watu kwamba nitanunua gari kabla hata ya kujenga nyumba. Wengi kwa wakati huo walinipinga lakini kadri siku zinavyosonga mbele ndivyo ukweli unadhihiri kwamba gari si anasa tena ni kama ilivyo simu ya mkononi sasa hivi, ni moja ya TOOLS za kutafutia pesa nyingine zaidi.
Leo hii hata nikiamua kufanya kazi zangu za ziada ofisini au nje ya ofisi sina wasiwasi wa kukosa usafiri hata usiku wa manane.
ni wewe bwana mi sipandi gari za watu ovyo ovyo ...wewe kama una vitz zenu hizo hata kama ninanyeshewa mvua niache tu ...maana sipandi
ahahaaa siwezi ningeshafanya hivo siku nyingi....yaani hiyo lift ya vitz labda unilipeAlaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!!! kumbe wasema lift, ila kumiliki Vitz uko ready....Hapo niko sawa sio.
Hivi ile baa ya sisimizi bado inaoparate? Kuna wakati ilisuasua sababu ya ujenzi wa barabara.
Unajua mkuu ukiwa na kuanzia milioni 7 unaweza kupata gari ya uhakika ambayo haitakusumbua lakini kwa hela hiyo huwezi hata kusimamisha vyumba viwili hapa DSM. Na wakati huo huo unapata kazi za ziada ofcn au hata z anje ya kiofisi unashindwa kwa kuhofia usafiri wa usiku hatari, unapishana na hela wakati mwenzio mwenye hata Glanza ya Milion 6 anazichanga kama hana akili nzuri mwisho wa siku anakuzunguka kipato na nyumba ya uhakika anajenga wakati aliyeanza na kibanda hata umeme bado hajaweka.Take my like, yaani hata mimi nilimweleza mke wangu ila baada ya kukubaliana tuanze na nini sasa ananiambia tulichelewa kuwa na gari,