Umeshawahi kutekwa? Ladies be very careful

Umeshawahi kutekwa? Ladies be very careful

Ukisoma katikati ya mistari unaona kabisa jinsi dada WALIMWEUSI alivyoonja bitterness ya utekwaji.
Natoa pole Sana kwako dadaangu, maana kwa kusoma maandishi tu mtu atajua kuwa katika hali ya kawaida uko makini na aware ya environment. Mimi naku'rate kuwa uko well above the everage kiakili.
Tukio hilo ni bahati mbaya parse, na mshukuru sn Mungu kwamba hukufanyiwa tendo la kubakwa au kuumizwa au hata kuuawa.
Thanks kwamba umekuwa darasa kwa wengine, japokuwa nimeona kuna watu wanaleta kejeli kwenye thread educative kama hii, nadhani ni addiction ya Chit-chat. Nimeboreka na mchangiaji anayedharau aina ya gari fulani bila kufikiria factors zinazomfanya mtu anunue aina hiyo ya gari.

Naamini kumtanguliza kwako Mungu kulikusaidia kukuepusha na hatari za roho na za Mwili.
Thanks again for the alert.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mamy
Mie ni Mwanaume but huwa c pandi those private transport unless nimeikodisha mwenyewe. whatever the case,,,

Zingatia haya utakuwa salama
1. Usipande taksi ambayo ni bubu.
2. Kabla ya kupanda taksi pendelea kuangalia plate number na ukiweza uzitume kwa friend just in case na route utakayopita.
3. Usipende kukaa siti ya mbele kwenye taksi hii itakusaidia kumonitor any unusual and behaviour za driver taksi.
4. Jaribu kuwa unamonitor/ kusikiliza maongezi yake / yao kama wataongea na simu ukiona wanaongea lugha usioifahamu au wanaongea sentesi fupi fupi ujue your on trap.
5. Usipende kuwekwa katikati kwenye hizo private cars kwani itakuwa shida sana kujitetea ukiwa attacked

Ni hayo tu kwa leo......
 
sasa na wewe WALIMWEUSI kila gari unapanda bwanaa....hata kavitz ka mlango mmoja?...mi hata kama ni lift gari kama sio kali mi sipandi ...ona sasa umepata fedheha bure vitz nayo gariii?

Umeniwacha hoi aisee! Kama wewe mkazi wa DSM na unafanyia kazi maeneo ya city centre ungeelewa kwa nini nilipanda iyo gari! Watu wanapanda hadi vile vigari vya kubebea mizigo vile!Its all about transport problems mamaa sio kama unavyofikiri!
 
Pole sana. Miezi michache iliyopita kulikuwa na story nyingine ya mdada kutekwa toka Dar na kupelekwa Tanga. Bahati mzuri katika hao waliokuwa wanamlinda ili asitoroke na tayari kuuwawa akamuomba mobile phone ama michuzi (sikumbuki vizuri ila imo humu ila nadhani ni michuzi ambayo ilibidi itumwe na ndugu wa dada kwa kutumia mpesa baada ya kuwasiliana nao) ili amsaidie kutoroka, dada akakubali. Na huyo ndiye alikuwa mwokozi wake. Na huyo dada alidai katika ile nyumba kule Tanga kulikuwepo na wadada wengine ambao nao ni mateka waliokuwa wanasubiri kuuwawa.
 
Pole sana dada yangu.

1. Hayo mambo yanatokea mara kwa mara maeneo ya Posta. Mtindo wa private cars, tax kwa bei chee unaliza watu kila siku.

2. Wakati huo sijapata usafiri wangu niliwaambia watu kwamba nitanunua gari kabla hata ya kujenga nyumba. Wengi kwa wakati huo walinipinga lakini kadri siku zinavyosonga mbele ndivyo ukweli unadhihiri kwamba gari si anasa tena ni kama ilivyo simu ya mkononi sasa hivi, ni moja ya TOOLS za kutafutia pesa nyingine zaidi.

Leo hii hata nikiamua kufanya kazi zangu za ziada ofisini au nje ya ofisi sina wasiwasi wa kukosa usafiri hata usiku wa manane.
sasa wewe unanunua gri huna nyumba, utalipaki wapi mzee? au utalipaki ccm?
 
Ukisoma katikati ya mistari unaona kabisa jinsi dada WALIMWEUSI alivyoonja bitterness ya utekwaji.
Natoa pole Sana kwako dadaangu, maana kwa kusoma maandishi tu mtu atajua kuwa katika hali ya kawaida uko makini na aware ya environment. Mimi naku'rate kuwa uko well above the everage kiakili.
Tukio hilo ni bahati mbaya parse, na mshukuru sn Mungu kwamba hukufanyiwa tendo la kubakwa au kuumizwa au hata kuuawa.
Thanks kwamba umekuwa darasa kwa wengine, japokuwa nimeona kuna watu wanaleta kejeli kwenye thread educative kama hii, nadhani ni addiction ya Chit-chat. Nimeboreka na mchangiaji anayedharau aina ya gari fulani bila kufikiria factors zinazomfanya mtu anunue aina hiyo ya gari.

Naamini kumtanguliza kwako Mungu kulikusaidia kukuepusha na hatari za roho na za Mwili.
Thanks again for the alert.

Thanks PakaJimy! You are great!
 
Aisee pole....wkt naanza kazi nilikua nazipanda asubuhi..siku nikichelewa mara chache sana usiku nilikua napanda but mostly daladala usiku...siku moja nilikuta km kinoah hivi kimepaki kina abiria watatu...wawili mbele ambao ni dereva na mwanamke...nyuma mmoja...ila nilivyopanda roho ilikua inanisuta..wasiwasi mwingi...nikawa nawaangalia wale watu....mmmh roho inataaa kabisaa inaniambia shuka shuka..shuka shukaa...nashukuru Mungu mm pia huwa nasali sanaa...nikasema ngoja niisikilize tu...nikashuka.nikaenda kupanda daladala...moyoni najiuliza kwann siku ile iwe vile..na wakt huwa napandaga..nikisikiaga mikasa km hii naanza kuvuta hisia....kumbe huenda na mm yangenikuta...Mungu ni mwaminifu kusali ni muhimu jamani
 
Nilishaacha kitambo kutumia usafiri wa private cars. Kilichobakia siku hizi napanda bajaji tu!
 
kuna uzi humu ndani nilimshauri mdada mmoja anunue pepper spray, ni silaha rahisi sana na ambayo ingekulinda kwenye tukio kama hilo kwa ku-spray kwenye uso wa jamaa au dereva wa gari..
Spray hizi zinapatikana kwenye maduka ya silaha.
back to the TOPIC, pole sana mkuu, Mungu ni mwema siku zote.

Natamani niinunue aisee ila sijui hata hayo maduka ya silaha yalipo. Labda kamanda unisaidie
 
Aisee nimejifunza kitu kwakweli pole ulieleta hii thread na umeokoa wengi
 
Hii habari nimesoma mpaka nimetetemeka,pole sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom