Umeshawahi kutekwa? Ladies be very careful

Umeshawahi kutekwa? Ladies be very careful

Ushauri: Wadada/wamama mnunue na mtembee na pepper sprays au teaser guns wakati wote mahali popote
 
pole sana kwa yaliyokukuta unakila sababu ya kumshukuru mungu,mmmmh lakini wakati mwingine haya yote yanatokana na shida ya usafiri jamani ukifikiria ile karaha ya kubanana kwenye daladala ni balaa yote kwa yote ujumbe umefika mamii.
 
Nakumbuka nilishawahi kuweka mahojiano ya live ya Kipindi cha Njia Panda hapa...
Mkasa ulikuwa kama huu na aliyetekwa pia alikuwa ni mwanamke na akapelekwa huko Pangani Tanga...
Anyway pole kwa yote...
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wewe motto wa kijichi...bana ...pole sana mamy..
 
Pole sana dada yangu.

1. Hayo mambo yanatokea mara kwa mara maeneo ya Posta. Mtindo wa private cars, tax kwa bei chee unaliza watu kila siku.

2. Wakati huo sijapata usafiri wangu niliwaambia watu kwamba nitanunua gari kabla hata ya kujenga nyumba. Wengi kwa wakati huo walinipinga lakini kadri siku zinavyosonga mbele ndivyo ukweli unadhihiri kwamba gari si anasa tena ni kama ilivyo simu ya mkononi sasa hivi, ni moja ya TOOLS za kutafutia pesa nyingine zaidi.

Leo hii hata nikiamua kufanya kazi zangu za ziada ofisini au nje ya ofisi sina wasiwasi wa kukosa usafiri hata usiku wa manane.

ingekuwa nyumba inafaa kuweka matairi teeh ningeweka tuu kale kajumba kangu ili nikitoka job nisipate shida
 
Umeniwacha hoi aisee! Kama wewe mkazi wa DSM na unafanyia kazi maeneo ya city centre ungeelewa kwa nini nilipanda iyo gari! Watu wanapanda hadi vile vigari vya kubebea mizigo vile!Its all about transport problems mamaa sio kama unavyofikiri!


msamehe bure bibie ,,, Smile labda alijua ni lifti ya kwenda picnic.
 
Last edited by a moderator:
Sadaka ni muhimu. Vipi kwani mbona unasema mhh? wengi hawaamini wanadhani labda nilibakwa!Anyway hata msipoamini it isnt my business, my business ni kutoa sifa kwa Mungu wangu


pole sana bibie , huwezi kuridhisha watu wote siku zote........
 
aaaah wapi, siwezii kuwa na swali lingine, nimekosa cha kufanya? we kula zako hamsini katafute ugali wako na familia yako tu, kila mtu anajua maisha yake anaishije, punguza hasira wala sina muda wa kufuatilia maisha yako mimi. i was just expressing my opinions!


wewe ndiyo unaonekana umetumia hasira zaidi ya grafani11
 
Last edited by a moderator:
Pole mwaya. Mungu ni mwema hawakukufanyia kitu kibaya.
 
Hlf hiyo njia ya shimo la udongo waliokupitisha, ni ya kuogopwa. Usikubali mtu usiemfahamu kiundani akupitishe au kukupeleka huko, japo kwa kadiri ya siku zisogeavyo matukio yanapungua.

Pole sana bibie..
 
Pole sana mdada. Kiukweli ni Mungu tu anayetulinda. Kumbuka upande wa pili kuna wanaotoa lifti kiroho safi lakini wanatekwa
 
pole sana aisee..dareslaam kuwe na street lights labda itapunguza maovu,km umeme haupatikani wamconsult yule bilionare anayeuza solar lol:A S-key:
 
du pole mama ila kitu kimoja ni kuwa unapopata changamoto hizi za maisha ujue mungu anakupenda sana , mfanya biashara bila hasara haendelei, wala usihofu na usishangae siku moja ukakutana nao mazingira ambayo watashindwa hata kukuomba msamaha ,mfano wewe ni nesi na wako mahututi hospitalini, ni kusamehe saba mara sabini , thats life
 
pole sana my dear... mi iliwahi kunitokea bills... nilinusurika chupu chupu kubakwa
 
pole sana my dear... mi iliwahi kunitokea bills... nilinusurika chupu chupu kubakwa

Hiyo ya bills naihitaji kuijua aisee (if u dont mind), mi pale napahusudu sana sana.. Hebu twambie japo kwa uchache tu. Plz..
 
pole sana mwaego, gari si anasa hao wanaosema hivyo ndo wa kwanza kuomba lift.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom