Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

Mifugo bado ipo?
 

Mkuu una bahati sana! Ungeng'atwa tako yani sijui ungefunga wapi.
 
We kuna nyoka nao ni aina ya vifutu yaani viper wanaitwa rattle snake wao wanaspika kwenye mkia yaani wakiona hatari wanawasha spika ukisikia inabidi ukimbie ni hatari hao. Ndio lipumba anataka akaimport amweke nyumbani kwa lipumba
Duuh hii ni kweli mkuu?
 
daah mkuu si mchezo ila ni moja experience unayo, kuna jamaa yangu ni mgogo nae alinipa maisha ya pori si mchezo mkuu
vipi kuhusu majani ya kufukuza nyoka au ni rumors ????
 
Mbona ana rangi nzuri hivyo ? Nani kam paint???
 
I hate all kinds of snakes. Popote mm nampoteza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
But ujue sumu ya nyoka (snake venom) ina thamani kubwa kuliko almasi. Sumu ya nyoka inatumika kutengeneza dawa za hospitali hususan dawa za ganzi na dawa za kuwatibu watu walioumwa na nyoka yaani hutumika kutengeneza antivenom. Kwa hiyo don't hate them as long as they don't harm you. Waache waishi. Iko siku wataokoa maisha yako au jamaa yako.
 
Yeuwiii najuta kufungua Uzi huu ucku huu jamanii ntalala kwelii aaaggghh....[emoji21] [emoji21]
 
Duuh hii ni kweli mkuu?
Rattle snake ni kweli anatoa sauti ya ONYO ili usimkaribie au tuseme anakushtua kana kwamba "wewe rudi usije huku ni hatari kwako" kwa kutumia vikasha viwili vilivyo katika mkia wake. Yeye huvitikisa Vikasha hivyo mithili ya vile vikopo vyenye kokoto au...wanavyotumia wauza karanga kudraw attention ya watu (samahani wauzaji karanga) na sauti hiyo sio kubwa sana kama ya spika. Ni sauti kama vile kusema ch.ch.chi ch. kwa haraka. Ukiwa mkaidi au mdadisi kwamba hicho ni nini na kuendelea kumkaribia zaidi basi atakudhuru.
 
daaah aiseee ukanyanyuka na mavi yako bhana aiseeee
 
[emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante.

Ndio kwanza nafahamishwa hivi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…