Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,301
Aisee wale Mozambique spiting cobra ni wanene, wepesi na wanatema mate mengi sanaKwan mikoa ya kusini suala la cobra sio habar ya kushangaza maana wamepakana na msumbiji, kule wanapatikana cobra maarufu duniani wanaitwa MOZAMBIQUE SPITTING COBRA, Ni hatar na nusu[emoji4]