Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 3,418
- 4,698
Hapo kwenye kisa cha kwanza cobra.
Kuna aina nyingi za cobra. Cobra anaerusha mate ni aina moja tu anaitwa Mozambique spitting cobra (Moza)
Angekua ni Moza angekua amekurushia mate muda mrefu sana na asingekukosa.
Kuhusu chatu yeye hana sumu ila ni hatari sana.