Nafahamu, nimepambana nao mara nyingi kwenye mabanda ya kuku wakitafuta mayai usiku.Cobra wa kitropik wengi ni weusi mkuu
Kama kobogo naye ni mweusi, unawezaje kuwatofautisha?
Nafahamu, nimepambana nao mara nyingi kwenye mabanda ya kuku wakitafuta mayai usiku.Cobra wa kitropik wengi ni weusi mkuu
Koboko sio rahisi aingie ndani, sio mweusi na ana kichwa kidogoNafahamu, nimepambana nao mara nyingi kwenye mabanda ya kuku wakitafuta mayai usiku.
Kama kobogo naye ni mweusi, unawezaje kuwatofautisha?
Ana rangi gani? Kuna mtu kaandika kuwa ndiye black mamba.Koboko sio rahisi aingie ndani, sio mweusi na ana kichwa kidogo
Ulivyoandika Swila umenikumbusha mbali sana Gereza, Ushora 😝😝😝Ni nyoka wawili tofauti mkuu, cobra ni swila na koboko ni black mamba au green mamba, ijapokuwa jamaa kashangaza kudhani swila hawapo huku
Black mamba ni kutokana na mdomo kuwa mweusi, yeye wa kijani mpauko na kaki flani yenye ukijani kwa mbaliAna rangi gani? Kuna mtu kaandika kuwa ndiye black mamba.
Na akipiga mara tisa mfulurizo ndipo, huishia nguvu, Wale wanao kamata nyoka wengine hutumia kioo, cobra akiona picha yake kwenye kioo, huanza kikgonga akizani nyoka mwingine, ila akisha fikisha mara tisa huishiwa nguvu, ndipo wakamata hutumia nafasi hiyo kumkata na kumtoa meno.Kobra ana ng'ata na kudunga sumu. Silaha yake ya kutemea / kurushia mate ni anapokuwa kwa mbali anaanza nayo hiyo kisha akikufikia anakutandika meno na kukudunga sumu kwa njia hiyo na ni kwa Kasi ya ajabu.
Mate yake yakikupata sehemu tofauti na machoni yanasababisha muwasho mkali na kwa baadhi ya watu eneo hilo huvimba hata wakati mwingine hutoa vidonda vinavyosababishwa na kujikuna sana.
Sijawahi kujua hiliNa akipiga mara tisa mfulurizo ndipo, huishia nguvu, Wale wanao kamata nyoka wengine hutumia kioo, cobra akiona picha yake kwenye kioo, huanza kikgonga akizani nyoka mwingine, ila akisha fikisha mara tisa huishiwa nguvu, ndipo wakamata hutumia nafasi hiyo kumkata na kumtoa meno.
Narudia tena mkuu...Kobra ana ng'ata na kudunga sumu. Silaha yake ya kutemea / kurushia mate ni anapokuwa kwa mbali anaanza nayo hiyo kisha akikufikia anakutandika meno na kukudunga sumu kwa njia hiyo na ni kwa Kasi ya ajabu.
Mate yake yakikupata sehemu tofauti na machoni yanasababisha muwasho mkali na kwa baadhi ya watu eneo hilo huvimba hata wakati mwingine hutoa vidonda vinavyosababishwa na kujikuna sana.
Na swila ni jamii ya cobra, ila huyu ukiktana nae kwenye 18 za huwa anafukuza ili mradi tu akugonge, na kama akikugonga huduma ya kwanza kama iko mbali andika usia.Ulivyoandika Swila umenikumbusha mbali sana Gereza, Ushora![]()
Hapo kwenye kumrushia fimbo ndipo ulipofeli ila sababu umesema ulikuwa darasa la 5, mi nlikuwa na mfuata namchapa hadi namuua.Kuna mtu ukimtania "hapo chini Kuna nyoka" ni Kama unatafuta kumuua kwa presha,hawapendi kabisa kuleteana utani wa nyoka. Wengine wakijua ndani, nyumba wanazoishi Kuna nyoka ataikimbia nyumba na kuitelekeza kabisa hadi asikie nyoka ameshauawa.
Sasa,Kuna akina sisi ambao huwa hatuogopi nyoka. Kuna baadhi ya matukio nayakumbuka na mengine najiona mjinga Sana kwa kucheza na mdudu huyu hatari Sana.
==============================================
Enzi hizo nipo kijana mdogo wa darasa la tano,siku moja,ilikuwa msimu wa baridi Kali (kipupwe). Kwetu kipindi Cha baridi Hali inakuwa tete kwa sisi tusiopenda maji,inafikia wakati baridi linakuwa Kali Hadi mchaanga ukikanyaga bila viatu unahisi umekanyaga barafu. Kipindi hiki swala la kuoga linageuka kuwa Jambo la ufahari.
Sasa siku moja nikiwa nimejiandaa mapema Sana ili niwahi shule kuchukua namba maana mwalimu wa zamu alikuwa mnoko,Kwa sababu ya baridi kuwa kali,nikagahilisha swala la kuoga,nikapiga mswaki Kisha nikanawa uso na kutinga uniform tayari kwenda shule. Sasa njiani Kuna zile nyasi zilizopata umande. Nikijiangalia miguuni naona miguu Kama imepakwa chokaa,habari ya kupaka maguta usiku kabla ya kulala upo kijijini unaanzia wapi? Nikasema hii miguu hapana kwa kweli,imezido kuchakaa, nikawa nimehama njia na kuanza kupita kwenye nyasi zenye maji (umande) ili kusafisha miguu. Hapo miguuni nimevaa kandambili alafu kitendo Cha kupita kwenye nyasi zenye maji zikawa Safi hadi nikiwa nainua mguu kandambili inaitika waah!! .Watoto wa siku hizi wa gari za njano na wakiamka wanasalimia good morning Dad and mamy hawaelewi hizi mambo za kunawa maji ya umande.
Sasa wakati nimehama njia natembea kwenye nyasi ili kuosha miguu,huku kidumu na fagio vipo mikononi..Ghafla..!! Cobra akiwa amevimbisha shingo huku amejaza mate yenye sumu alikuwa ameshajihami yupo mbele yangu tayari yupo katika mkao wa kushambulia. Wakati nimetaharuki nawaza nini Cha kufanya yeye ndiyo kwanza akasogea barabarani kweupe kabisa. Ni Kama alisogea mbele kuniblock nisiende shule. Nikaangalia nyuma Kama Kuna mtu anakuja nikawa naona ukungu tu,nilikuwa mzee wa kuwahi Sana,Wale wanafunzi wanaowahi sana shule..Nidhamu nyingi!!! Hata hivyo kwa sababu sikuwa mwoga wa nyoka nikasema leo mbona tutanyooshana tu!! Pembeni yangu kulikuwa na mti mrefu kidogo nikauchukua nikatoa vitawi ikabaki fimbo. Nikaanza kumrushia.
Sasa Cobra kwa kukwepa ndiyo mwaliku wao,Kila nikirusha anakwepa alafu ananifokea balaa huku amejaza lundo la mate yenye sumu shingoni. Lakini Cha ajabu Wala harudishi mashambulizi wala kunitemea mate yake yaliyojaa shingoni yenye sumu Kali.
Kumbe nyoka ana akili Sana.
Wakati najiona Kama napambana nae nimuue,Kumbe mwenzangu ananiona Kama mtoto tu nisiye na hatia akawa ananikwepa pasi na kunidhuru. Ilikuwa Kama anacheza na Mimi maana hata nguvu ya kurusha ule mti ilikuwa dhaifu Sana kwa sababu ya umri wangu.
Alipoona nimetaharuki huku macho yamenitoka Kama tochi nakaribia kulia alafu sina msaada akaamua kuinama chini na kusepa mdogo mdogo na kuishia zake porini. Alipotokomea ndiyo nikakumbuka Kumbe nilibeba kidumu cha maji na fagio,sijui nimevitupa wapi. Nikavitafuta nikakuta nilivitupa kwenye majani,maji yameshamwagika maana kidumu hakikuwa na mfuniko. Nikasepa zangu shule miguu ikiwa haina nguvu kabisa.
Ila sikukoma,niliendelea na tabia yangu ya hovyo ya n kukutana na balaa la nyoka? Ilikuwaje?
Unamaanisha Tanzania hakuna cobra..!!??Bongo tuna Cobra?? Eneo gani?. Ungenambia koboko sawa.
Ni kweli mimi ilinikuta nikiwa moshi 2005 majira ya mchana nimezunguka mbele ya nyumba kuchota maji kwenye pipa lilikuwa linakinga maji ya mvua basi nikiwa nimeinama nachota maji naangalia pembeni yangu namuona cobra mkubwa sana wa kijivu katunisha shingo yake ananiangalia jamani nilipiga kelele kubwa mpaka cobra mwenyewe akachanganyikiwa na kukimbia kupanda kibarazani anatafuta pa kujificha akazama ndani kupitia chini ya mlango tukaziba na dekio ikabaki nafasi kidogo akaenda kutafutwa mkamata nyota akazama humo ndani alimtafuta na hakufanikiwa kumuona huyo cobra.Narudia tena mkuu...
Kama hujamkanyaga au hujamzuia kuingia shimoni kwake cobra kamwe hawezi kukufuata akudunge.
Nimeishi maeneo yenye cobra na nimewahi kuua cobra wakubwa tu nikiwa peke yangu.
Ukimpiga nshingo aliyoinyanyua na kuitanua huwa anajizinga kwenye fimbo na habari yake inaishia hapo
Mwisho ilikuwaje?Ni kweli mimi ilinikuta nikiwa moshi 2005 majira ya mchana nimezunguka mbele ya nyumba kuchota maji kwenye pipa lilikuwa linakinga maji ya mvua basi nikiwa nimeinama nachota maji naangalia pembeni yangu namuona cobra mkubwa sana wa kijivu katunisha shingo yake ananiangalia jamani nilipiga kelele kubwa mpaka cobra mwenyewe akachanganyikiwa na kukimbia kupanda kibarazani anatafuta pa kujificha akazama ndani kupitia chini ya mlango tukaziba na dekio ikabaki nafasi kidogo akaenda kutafutwa mkamata nyota akazama humo ndani alimtafuta na hakufanikiwa kumuona huyo cobra.
Mwisho ndo hivyo cobra hakuoneka tukahisi labda alitumia nafasi iliyobaki kutoka nje maana tulivyoziba tuliondoka kwenda kumtafuta mkamataji . Lakini angekuwa wa kuning’ata basi ingekuwa hivyo maana nilisimama karibu yake kabisa na nilivyomuona nikaanza kupiga kelele sikusogea hata hatua moja zaidi cobra ndo alianza kukimbia nilikuwa darasa la sita,imagine angekuwa nyoka aina nyingine basi ningebaki historia tuu.Mwisho ilikuwaje?
Cobra usipomkanyaga hakung'ati hili nina uhakika nalo 100%Mwisho ndo hivyo cobra hakuoneka tukahisi labda alitumia nafasi iliyobaki kutoka nje maana tulivyoziba tuliondoka kwenda kumtafuta mkamataji . Lakini angekuwa wa kuning’ata basi ingekuwa hivyo maana nilisimama karibu yake kabisa na nilivyomuona nikaanza kupiga kelele sikusogea hata hatua moja zaidi cobra ndo alianza kukimbia nilikuwa darasa la sita,imagine angekuwa nyoka aina nyingine basi ningebaki historia tuu.
Yeah ni kisanga sana, mpaka nimecheka nikikumbuka mambo yake enzi hizo kwenye mashamba ya Gereza Ushora daaah! 😝😝Na swila ni jamii ya cobra, ila huyu ukiktana nae kwenye 18 za huwa anafukuza ili mradi tu akugonge, na kama akikugonga huduma ya kwanza kama iko mbali andika usia.
Huyu nyoka alisha wahi nipandia juu ya mti aje kunigonga, kilichoniokoa ujana tu nilidandia tawi la mti mwingine wa karibu kama nyani wafanyavyo, nikadanda chini nikakimbia.
Ukiishi kinkondoni huwezi amini Tz cobra wapoUnamaanisha Tanzania hakuna cobra..!!??
Mapori yenye kware na kanga yanakuwa na nyoka wengi kwakuwa ndege hawa hutaga mayai chini, na nyoka, hasa cobra, wanapenda mayai sana.Yeah ni kisanga sana, mpaka nimecheka nikikumbuka mambo yake enzi hizo kwenye mashamba ya Gereza Ushora daaah! 😝😝
Unawafahamu Kanga na kware?