Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Nimewahi ku-download hio Tor browser na kuzama kwenye dark web. Hakika kuna mambo ya ajabu sana. Nimeona site za kuuza bangi madawa na kujifunza namna ya kuiba kwenye atm. Ni hatari sana
Nawezaje kui-download hyo Tor Mkuu?
 
Nashukur Mkuu kwa elimu!
 
Huyo jamaa wa Facebook kilimtokea nn mbn nipo Nyuma ya Ulimwengu
 
Asante Mkuu, ila umesahau kuhusu VPN, ufafanuzi tafadhali
 
Asante Mkuu, ila umesahau kuhusu VPN, ufafanuzi tafadhali

Sawa Mkuu:
VPN Inatakiwa iwe ya mwanzo hata kabla ya ku-dowload TOR browser.
Download app ya VPN kisha chagua plan (express vpn) baada ya hapo endelea ku-download na kisha install VPN, halafu download TOR Browser then fanya installation. Then Browse.
 
Nimejaribu kuingia naona cm yangu inapiga picha za ghetto automatic haizim nimeiacha nje kwanza nawaza nikaiweke kwenye maji chakushangaza kila naipeleka nje naikuta ndan jaman plzz msiingie huko
Dadek nimecheka mbaya
 
Not true anymore

i have succeded to access through my computer but most of worning ni kwenye information zako kuweza kudukuliwa kwa kifaa unachitumia

Because mostly is for Black market issues so you may be traced by the Secret service to knw whats ur interest there
 
Not true anymore

i have succeded to access through my computer but most of worning ni kwenye information zako kuweza kudukuliwa kwa kifaa unachitumia

Because mostly is for Black market issues so you may be traced by the Secret service to knw whats ur interest there
 
Reactions: B49
Wanasema 94% of internet information has been hidden in the dark web whilst only 4% is left openly such as those we such via google,Bing etc.


Aise ni noma Sana.
 
kabisa mkuu virusi wapo tena wakutosha
Mimi nachojali uhai wangu tu kama simu ife tu?

Mimi nikajua labda ukiingia watu wasiojulikana wanaanza kukufuatilia.

Kumbe ni picha zinazotisha, udukuzi, na virus tu aaargh ngoja nizame
 
Kwani canera tunaziba je? Kufunga jicho la camera ktk hii device yangu ama?
Ninachoogopa zaidi kuthubutu kuingia huko ni hili tisho la kukwaa virus. Hayo mengine ni ya kawaida tu.
Hivi virus si wanaua simu tu au Wana cha zaidi mkuu?
 
Mkuu:
Huko hakuna kuzurula hovyo. Unatakiwa uingie mahali husika kwa kutumia url. Ukianza kuzurula utakutana na wenye miji yao na wanauwezo wa kukuletea matatizo.
Matatizo kama yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…