Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Nilitamani kuwa na watoto watatu (03), kumbe wife anatamani kumpata mtoto wa kike, akapata ujauzito mtoto kuzaliwa akawa me! Nikafikiri tutaishia 4, akawa ananiambia hivi nikiugua nani atakuwa ananiosha nikizeeka? Nami namjibu dada zako Wana watoto wa kike kimasikhara tu lol! Kushtuka kitu tayari! Hapa nawaza asipozaa wa kike itabidi tuongozane akafunge. Hapo bado nina 1 niliyempata enzi za ujana.
 
Una bahati una mke anapenda kuzaa! We piga mpaka wa kike apatikane...mi mwenyewe ninao wa kike wanne! Lazima nirudi
 
Watano.

Kumbuka unapowazaa una deni kwao la kuwaonesha njia ya kufuata pindi wakiwa kwenye uso wa Dunia, kama hauna plan ya kuwaongoza njia basi ni vyema ukatulia.

Haileti mantiki kwa mtu mwenye akili timamu akaacha kuongoza njia kizazi chake.

Mnaotamani kuwa na safu ya ushambuliaji pamoja na substitution kabisa msisahau hili.
 
Back
Top Bottom