Nibiru
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 614
- 844
Shemeji shemejiAma afanane na ndugu yoyote wa upande wa baba
Shemeji shemejiAma afanane na ndugu yoyote wa upande wa baba
Nipe tenda hio 🙋♂️Em nimtafute wa kunitia hiyo mimba sasa, nikajionee![]()
Kulikuwa na sababu yeyote ambayo ilikuwa nje ya uwezo wao hadi ikasababisha kuzaliwa mmoja mmoja?Babu yangu alizaliwa mwenyewe.
Baba yangu alikuwa mwenyewe.
Nikazaliwa mwenyewe pia.
Nadhani ntafuata hii trend.
Utatoboa tuu, usipoteze lengo hata kama mazingira yanaweka ugumuI wish to have 4 ila mpaka sahivi nna 0 sijui kama ntatoboa 4![]()
Nipe mkataba 😂🤣Wacha wee!!![]()
Umeniwah kutuma ombiNipe tenda hio![]()
Nimeshasaini mkataba wa kidipii wediiUmeniwah kutuma ombi
Wa masaa tu si kutafuta mtoto 😄 au mamaa unataka wa kidipiii wedii miaka 99 😄Wa miaka mingapi?![]()
Wa masaa tu si kutafuta mtotoau mamaa unataka wa kidipiii wedii miaka 99
![]()



Afu kulea unamuachia nani??Niache nin???Wacha wee!!
Ivi kuna kulea 🙆♂️ 😄🤣Afu kulea unamuachia nani??
Ili iweje!!!Kuuza viatu![]()
Ivi kuna kulea![]()
![]()


Mfyuuu!! Ko ni jiwe umeweka linajilea lenyewe?? Au unataka kuwa km Babu Tiffah (Mzee Abdul)Aloooooo wee nouma WallahNimeshasaini mkataba wa kidipii wedii