Umenipendea nini?


mwingine eti anauliza umelalaje? mimi kwa kweli naona ujinga
 
eti "baby umeridhika?"
hilo ni swali kwa mwanaume asiyejiamini, alieridhika unamuona tu sio lazma umuulize

hilo swali ni zuri... km vipi unajisevia tena jioni.. 3x3 sio mbaya kwa siku..
 

ikawaje dikembe baada ya hapo
 
Last edited by a moderator:
Upele umepata mkunaji lol!
Yaani hili ndio jibu, gemu imekolea hlf unastop kisa kuuliza umeshakojoa?


hahahaha..lol, umenichekesha sana ram, yaani katikati ya gem, anastop kabisa na kuuliza, " baby vipi, umeshakojoa?" hapo wee unataka azidi kusugua...duuuh!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini uliachana na mpenzi wako kabla yangu?

Swali la
Kikuda hili
aha ahahahahaha, hapo huwa naongopa sana nakuwa na jibu moja tu consistent kwa mademu wote, kuwa alinishinda tabia zake mbaya
 


kaka achana na vitoto,

nenda kwa wakubwa wenzio,

huo usumbufu utausahau tu.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…