Umenipendea nini?

Umenipendea nini?

Mimi sio sipendi naona huwa nachoka tu mtu akiniuliza leo umevaa pichu rangi gani,bra rangi gani. Bora now nimejipumzikia aaah.
 
hahahhaha duuu....yani mi sipend kabisaaa maswali ya kijinga kama hayo....
 
hapo sasa sawa mwenzio kakumiss afu we unambania shauri yako watatuma wengine
Inabidi niwe napiga picha, kila siku nimtumie picha mpya, nsije nkaachwa bure. mkuu umenifurahisha sana, kwani nawewe huwa unaomba utumiwe picha na shemeji? huwa anakujibuje?
 
Hapo jibu litatoka kutokana na mood ya siku hiyo
Jitahid liwe laini, nahisi litakua sio attractive kabisa..kama alikuudhi kitu basi ategemee mmomonyoko wa maadili ndali ya jibu utakalompa. hahahaaa
 
Inabidi niwe napiga picha, kila siku nimtumie picha mpya, nsije nkaachwa bure. mkuu umenifurahisha sana, kwani nawewe huwa unaomba utumiwe picha na shemeji? huwa anakujibuje?

shemeji mimi naishia kusave zilizopo kwenye profile .. huwa anajibu hana picha ila najua ni mvivu kupiga picha na pia nahisi ni mtu yupo bussy sana nikiomba mara moja sirudii tena nisijemuudhi... ila mimi napenda awe ananitumia picha....
 
Jitahid liwe laini, nahisi litakua sio attractive kabisa..kama alikuudhi kitu basi ategemee mmomonyoko wa maadili ndali ya jibu utakalompa. hahahaaa
Basi bora jibu lisitoke kabisa
 
shemeji mimi naishia kusave zilizopo kwenye profile .. huwa anajibu hana picha ila najua ni mvivu kupiga picha na pia nahisi ni mtu yupo bussy sana nikiomba mara moja sirudii tena nisijemuudhi... ila mimi napenda awe ananitumia picha....
Safi sana aisee, nadhani shemeji anafurahia kuwa nawewe kwani unaonyesha kumwelewa sana. Hongera sana mkuu
 
Back
Top Bottom