Umenipendea nini?

Umenipendea nini?

Bora mpenzi aulize swali lolote. Yaani unakutana na jitu tu huko unaliambia ninafanya kazi ofisi fulani, linakuuliza wanakulipa sh ngapi? Khaaa!
 
Hivi huu ni wivu au matatizo ya akili mkuu..

mapenzi hasa ya mwanzo mwanzo, au mkishazoeana wanaume wengi huwa mnabadilika wakati mwanzoni ilikuwa simu mara 3 kwa siku na msg la malavi davi kibao hasa usiku lakini mkishatunasa tukanasika simu inaweza pigwa mara moja kwa siku au isipigwe kabisa au ukaambulia msg tu tena usiku ya kuagwa na inakuwa imeandika gud9t bila nyongeza, sasa hapo ndo huwa tunadata tunaanza huo mlolongo uliouandika hapo
 
hiyo ni sign ya insecurity..and maybe she is still a litle gal....hahahahhaa
Yah, most wako na age bellow 25...wewe ushapiga simu mara moja, inatosha ntakuta missed call ntakupigia, ukipiga mara nyingi unansumbua na kusababisha niwe na mashaka na afya yako ya akili..
 
Wala sio utoto ndugu yangu ni tabia ya mtu, mimi nina rafiki yangu yuko hivyo mpaka nilishamwambia wewe ndo mana huwezi kudumu na mtu sababu wanaume hawapendi kutafutwa kiasi hicho yani hampi mwanaume muda wa kummisi ni kuuuutwa simu na msg nikimsema atajitahidi kuacha siku 1 au 2 anarudia tena
 
mapenzi hasa ya mwanzo mwanzo, au mkishazoeana wanaume wengi huwa mnabadilika wakati mwanzoni ilikuwa simu mara 3 kwa siku na msg la malavi davi kibao hasa usiku lakini mkishatunasa tukanasika simu inaweza pigwa mara moja kwa siku au isipigwe kabisa au ukaambulia msg tu tena usiku ya kuagwa na inakuwa imeandika gud9t bila nyongeza, sasa hapo ndo huwa tunadata tunaanza huo mlolongo uliouandika hapo
Ok, hapo nimekupata mkuu, lakini kwanini usiache missed call moja au mbili..nikikuta ntakupigia?
kipindi cha nyuma nlikua na Gf, yeye alikua anapiga hata mara mia moja...nkamuuliza siku moja ni kwanini anafanya hivyo, akajibu ananisumbua incase niko na mdada mwingine nisiinjoy vizur..hahahaha..
 
Wala sio utoto ndugu yangu ni tabia ya mtu, mimi nina rafiki yangu yuko hivyo mpaka nilishamwambia wewe ndo mana huwezi kudumu na mtu sababu wanaume hawapendi kutafutwa kiasi hicho yani hampi mwanaume muda wa kummisi ni kuuuutwa simu na msg nikimsema atajitahidi kuacha siku 1 au 2 anarudia tena
Hapo uko sahih sana, mimi binafsi ni mviv sana wa kuchat..mdada akiwa ananiweka bize huwa sifurahii na huwa namwambia na kumpa muda wa mimi kuwa niko huru, wakat mwingine uko na mkutano, anatuma sms, usipojibu anaanza kupiga simu...yaan inaudhi sana,,...kwenye text hakuna cha maana zaidi ya hayo maswali.
 
Yah, most wako na age bellow 25...wewe ushapiga simu mara moja, inatosha ntakuta missed call ntakupigia, ukipiga mara nyingi unansumbua na kusababisha niwe na mashaka na afya yako ya akili..

ndio hivyo uachane na lilte gal kuwa na watu wenye akili zetu km mimi hhhahahahahahah
 
Baby, nikipata mimba utaikubari ????????????
 
Ok, hapo nimekupata mkuu, lakini kwanini usiache missed call moja au mbili..nikikuta ntakupigia?
kipindi cha nyuma nlikua na Gf, yeye alikua anapiga hata mara mia moja...nkamuuliza siku moja ni kwanini anafanya hivyo, akajibu ananisumbua incase niko na mdada mwingine nisiinjoy vizur..hahahaha..

Wengine ni tabia tu, wengine wivu na wengine huhisi kuchanganyikiwa akiona mabadiliko ya kutotafutwa kama mwanzo
 
.......kidondo/kipele chako ambacho kwangu ni maradhi....
 
ndio hivyo uachane na lilte gal kuwa na watu wenye akili zetu km mimi hhhahahahahahah
Fursa hizi...napenda mtu anipe nafasi kuna wakati napenda kuwa alone, ili nitatue na kutafakari mambo ya kazi. Kwa nyinyi mtu akikuomba umuache kidogo kuna mambo yanamtinga, wewe unakazana na kutaka kujua, au kuhis labda nafanya mchepuko....
 
Wala sio utoto ndugu yangu ni tabia ya mtu, mimi nina rafiki yangu yuko hivyo mpaka nilishamwambia wewe ndo mana huwezi kudumu na mtu sababu wanaume hawapendi kutafutwa kiasi hicho yani hampi mwanaume muda wa kummisi ni kuuuutwa simu na msg nikimsema atajitahidi kuacha siku 1 au 2 anarudia tena

mmmh! nakataa kuwa ni tabia ya mtu, ni utoto huo maana mtu mwenye akili zilizo komaaa hawezi kujitase hivyo na kuwa mtumwa wa mapenzi kiasi hiko,mwanaume hata umbaneje akiamua kuchepuka atachepuka tu na hutajua fanya yako kwenye mahusiano kuwa huru nae awe huru sio kubanana km watoto,maisha yanamambo mengi ya kufanya sio mapenzi tu saa zote
 
Fursa hizi...napenda mtu anipe nafasi kuna wakati napenda kuwa alone, ili nitatue na kutafakari mambo ya kazi. Kwa nyinyi mtu akikuomba umuache kidogo kuna mambo yanamtinga, wewe unakazana na kutaka kujua, au kuhis labda nafanya mchepuko....

hapo inategemea km mwanzoni ulikuwa unanipa muda wako sana ukibadilika na kujifanya uko busy muda mwingi lazma nitamaind bt km toka tunaanza uhusiano ulikuwa unaniambia na kunipa muda kdogo nitelewa ndivyo ulivyo
 
Wengine ni tabia tu, wengine wivu na wengine huhisi kuchanganyikiwa akiona mabadiliko ya kutotafutwa kama mwanzo
Kuna kipindi nlikua nasoma chuo, nlikua na gf alikua anasoma pia chuo but mkoa wa jirani, alikua kila weekend ya mwisho wa mwez anakuja kwangu, siku moja alikua anataka kuja nkamkataza nkamwambia nina Test j/pili..hakuamini akaamua kuja kwa lazima bila kunambia na alikuja usiku,..sitoisahau hiyo siku kwenye maisha yangu, yaan alinikuta kweli nasoma nlikua nakaa na jamaa nae hakuwepo (Hostel). ilikua balaa, mpaka nkajuta kuwa naye...
 
hapo inategemea km mwanzoni ulikuwa unanipa muda wako sana ukibadilika na kujifanya uko busy muda mwingi lazma nitamaind bt km toka tunaanza uhusiano ulikuwa unaniambia na kunipa muda kdogo nitelewa ndivyo ulivyo

Unajua kipindi tunamfuata msichana tunaweka nguvu kubwa, ili akuelewe na muwe pamoja, ila ukishampata unakua uniform, anakua keshakuelewa na yeye, siwezi kubehave kama mwanzo kutokana najua wewe ni bby wangu, ananijua vyema hakuna haja ya kuigiza tena. hivyo tunakua na uhalisia wa maisha.
 
ahahahahahhhh, leo nitacheka sana na haya maswali

Bby mbona uko bizy? bby mbona haujibu sms zangu? bby mbona haupokei simu, uko na nan?
hapa huwa nachukia sana.......afu unakuta missed call 78, sms 10......dah. Najiuliza nimekosea kutokujua medical history yake kwanza.
 
Back
Top Bottom