Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Sasa na familia yako wana nafasi gani kwako kama hata W/end unaona ni muda muafaka kua na rafikizo?Mwanaume wa kweli weekend ndo siku za kukutana na marafiki na kubadilishana mawazo maana ukiwa baba wa kushinda nyumbani siku za weekend utakosa fursa zingine na utabaki kulalamika mshahara hautoshi


