Umenioa nije kwako kula na kulala?

Umenioa nije kwako kula na kulala?

Ila ukikaa bar kama boya ndio haudhaliliki? Hivi tafsiri yetu ya kudhalilika inatokea sayari gani!!! Sasa huwa mnaoa ili iweje!! Si mkaage hivyo hivyo ili uwe huru zaidi, hata ukiamua kukesha bar haudhaliliki.
Asidhalilike kivipi, kutwa nzima kaning'iniza miguu baa kama hana kwake, asidhalilike kivipi wakati kutwa anakunywa balimi wala si pombe ya maana, asidhalilike wakati akilewa anaanza kuropoka hovyo, kudhalilika kuna tafsiri pana mno.
 
Hakuna kitu kinaudhi kama umepika alafu mtu anakwambia ameshiba kumbe alishakula mguu wa mbuzi na supu baa.
 
Usiku ni muda wa kulala sio kuongea. Mwili unahitaji muda wa kutosha kupumzika kiafya.
Ni kweli mke wangu lkn siwezi kulala saa 2 km kuku. Muda wa kulala ni saa 4:30 kuanzia saa 2 mpaka saa 4:30 tutakuwa tunaongea huku tunafanya mambo mengine km maakuli. Mm nipo tu babe halafu kipind hiki kuna mpira kwahiyo usishangae narudi saa 6 usiku
 
Hongera kwa kujitengenezea Tatizo mwenyewe kiumbe Mwanamke ni kazi sana kuishi nae Kama mungu kawapa kope na nyusi wao wanaona aziwatoshi wanaongeza nyingine na kucha wanaongeza wanakuwa Kama jini uwezi kumridhisha kwa chochote hapa duniani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ga ga ga ga, wanawake wenzangu mmeiona hii?
 
Asidhalilike kivipi, kutwa nzima kaning'iniza miguu baa kama hana kwake, asidhalilike kivipi wakati kutwa anakunywa balimi wala si pombe ya maana, asidhalilike wakati akilewa anaanza kuropoka hovyo, kudhalilika kuna tafsiri pana mno.

Ndio maana nimewauliza tafsiri yao ya kudhalilika inatoka sayari gani!!! Maana huko bar ndiko wanadhalilika sana tu.
 
Ni kweli mke wangu lkn siwezi kulala saa 2 km kuku. Muda wa kulala ni saa 4:30 kuanzia saa 2 mpaka saa 4:30 tutakuwa tunaongea huku tunafanya mambo mengine km maakuli. Mm nipo tu babe halafu kipind hiki kuna mpira kwahiyo usishangae narudi saa 6 usiku
Bar na kwenye mipira yenu hiyo mkiwahi sana ni saa5 usiku, sasa hiyo saa2 unayoongelea tunakuwa tunakula na kuongelea huko bar???

Na muda na wanao unao saa ngapi? Hata home work huwa unawasaidia kweli? Vikao vya wazazi shuleni umewahi hudhuria hata kufuatilia maendeleo ya wanao? Outing wakafurahi na baba yao je? Umewahi kuingia kwenye maisha yao hata ujue nini kinaendelea?
 
Hakuna kitu kinaudhi kama umepika alafu mtu anakwambia ameshiba kumbe alishakula mguu wa mbuzi na supu baa.
Mama yangu siyo lazima ule nyumbani.
Ukishakuwa mkubwa popote unaweza kula. Ndiyo maana kuna migahawa.
Ngoja nijirekebishe maana nikakoelea nisije nikagongewa. Na ukigongewa kuna uuma sana zaidi ya uchungu wa mama mjamzito. Nitajirekebisha honey
 
Mimi kwangu nina msemo wangu mmoja tu, Utakula tu hata kikiwa kiporo! Ale hukoo abakishe nafasi ya kula cha nyumbani, kwasababu am sure siku nikiacha kumpikia hatoweza kula vya nje milele.
Mi nitoke kwenye mihangaiko yangu nimechoka nikae jikoni nimpikie mtu akija aseme amekula sijui supu wapi huko, kwani angetuma sms kuwa wife sitakula nyumbani angekufa?
Mwanaume umleavyo.........
 
Mwishoni Mwanaume Utaishia Kuwekew Movie Za KiFilipino Na Za Kinaijeria Umaliziwe Na Bongo Movie. Juma3 Watu Wanadiscuss Aguerrrrrooooo Unabaki Kuuliza Tu??!
 
Bar na kwenye mipira yenu hiyo mkiwahi sana ni saa5 usiku, sasa hiyo saa2 unayoongelea tunakuwa tunakula na kuongelea huko bar???

Na muda na wanao unao saa ngapi? Hata home work huwa unawasaidia kweli? Vikao vya wazazi shuleni umewahi hudhuria hata kufuatilia maendeleo ya wanao? Outing wakafurahi na baba yao je? Umewahi kuingia kwenye maisha yao hata ujue nini kinaendelea?
Kazi yangu ni kutafuta pesa. Na kuhakikisha chakula na mahitaji mengine hayakosekani. Mengine ataangalia mama yao.
 
Mama yangu siyo lazima ule nyumbani.
Ukishakuwa mkubwa popote unaweza kula. Ndiyo maana kuna migahawa.
Ngoja nijirekebishe maana nikakoelea nisije nikagongewa. Na ukigongewa kuna uuma sana zaidi ya uchungu wa mama mjamzito. Nitajirekebisha honey
Huo ujauzito uliubeba lini ukajua uchungu wake!!!

Kumbe mahali popote waweza kula eeh!! Basi uwe unaibeba familia yako kila siku mkale huko migahawani, si ndio maana migahawa ipo!!
 
Mwishoni Mwanaume Utaishia Kuwekew Movie Za KiFilipino Na Za Kinaijeria Umaliziwe Na Bongo Movie. Juma3 Watu Wanadiscuss Aguerrrrrooooo Unabaki Kuuliza Tu??!
Unaonaje mpira wa Mexico na New zealand. Una tabiri nani ataibuka kidedea?
 
Back
Top Bottom