Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,934
Malaya ni Malaya hata akipewa nini hataweza kutulia... Umemuona huyo amenunuliwa kila kitu home anakuja kulalamika huku lakini angekuwa ana mugeuza mume wake kama rafiki Huyo Mume asingekuwa anashinda huko njee.. Hii Kitu siyo Kama zile tamthiliaMwenye masikio na asikie, ninyi wabishi shauri zenu, baadae mje mseme wake zenu hawatulii nyumbani