Umenioa nije kwako kula na kulala?

Umenioa nije kwako kula na kulala?

nilikuwa najishindisha nyumban na kumsaidia vikaz vya usafi wife na kuwaromantic any time alichokifanya hahahaha ke huwa hawanaformula nimeamuakutomsaidia chochote kinachohusu usafi om ila nw tunaenda sawa
 
Ila ukikaa bar kama boya ndio haudhaliliki? Hivi tafsiri yetu ya kudhalilika inatokea sayari gani!!! Sasa huwa mnaoa ili iweje!! Si mkaage hivyo hivyo ili uwe huru zaidi, hata ukiamua kukesha bar haudhaliliki.
Kwa hiyo we unitangaze kwa mashoga zako kama kwako si hemi halafu nikenue tu!
Bar tunaexchange ideas na wwshikaji!
Kwahiyo furaha yako wikend wenzio waje mnasukana na umbea wa hapa na pale Mi nipo tu!
Bar lazima ihusike ebooooo!
 
Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kujaza fridge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa nane usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au mzazi wangu wangu alishindwa kununua luku?

Weekend ndiyo muda wa kuongea na wewe. Monday to Friday unawahi kazini acha J'mosi nikupikie breakfast tuongee, ikiwezekana basi kufanya shopping wakati ninasafisha nyumba tule pamoja then unaweza kuwa na masaa mawili matatu na marafiki zako lakini unawahi kurudi nyumbani.

Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.
Nilikuambia achana na mapenzi ya vumbi la huko Tandale, Njoo masaki uishi na mwanaume.
 
Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kujaza fridge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa nane usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au mzazi wangu wangu alishindwa kununua luku?

Weekend ndiyo muda wa kuongea na wewe. Monday to Friday unawahi kazini acha J'mosi nikupikie breakfast tuongee, ikiwezekana basi kufanya shopping wakati ninasafisha nyumba tule pamoja then unaweza kuwa na masaa mawili matatu na marafiki zako lakini unawahi kurudi nyumbani.

Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.
Kwani mlivyochumbiana hukumuona hivyo?
 
kama kula unakula kuvalishwa unavalishwa na dushe unapewa nini tena cha ziada unataka? nikae nyumban nioshe vyombo? nikupake kucha rangi? wacha nitoke nje nika spend na ndugu jamaa na marafiki
 
Kwa hiyo we unitangaze kwa mashoga zako kama kwako si hemi halafu nikenue tu!
Bar tunaexchange ideas na wwshikaji!
Kwahiyo furaha yako wikend wenzio waje mnasukana na umbea wa hapa na pale Mi nipo tu!
Bar lazima ihusike ebooooo!
Sio kukutanaza anajisikia raha kusema shehas thebest huby, hayo ya kuhema ni hisia zako tu maana umeujaza nafsi negativity, ideas gani mnazoexchange mbona hatuoni mabadiliko ya maana zaidi ya kuvuruga tu!!!

Ukiona mashosti w.end wanakuja kupiga umbea home ujue hukufanya nafasi yako vizuri hivyo akaamua kutafuta mbadala wako, shukuru wamekuja mashosti.
 
Hata biblia imetamka TUISHI NAO KWA AKILI.

Kama Mungu mwenyewe aliwashindwa wanawake itakuwa sisi wanaume? Mliwekwa kwenye bustani ya edeni mkapewa kila kitu na bado mwanamke akadanganyika itakuwa kwa sisi wanaume kuwaridhisha kweli?

Mwanamke hata apewe dunia na vyote vilivyomo bado atalalamika tu.
 
Mna maneno mazuri ya kujitetea, sasa hao washikaji na wapambe mbona ukiishiwa na pesa hutaki kuwaona.
 
Hili ndio tatizo la kila mtu kuwa jogoo ndani ya nyumba, mpe manjonjo mwenyewe atatulia home
 
Back
Top Bottom