Umenioa nije kwako kula na kulala?

Umenioa nije kwako kula na kulala?

Mpendwa rafiki nimekuelewa vizuri kwamba lazima mambo haya yawe balanced, mume lazima apate mda na mkewe then pia na watoto,,inasikitisha kuona mume/baba anapata muda kua free lakin utakuta anashinda baa kwamba ndo uanaume, kwamba akipata mda na mkewe ama watoto anawaza ataonekana vipi na rafik zake kwamba anafungiwa ndani, lakini kumbe sivyo, ni kukosa ufahamu tu na akili kidogo ama maarifa. Na ewe mwanaume mwenzangu hakuna kitu kibaya kama mwanamke ku....... ngoja ntamalizia next time.

But mpendwa ulieleta mada, pia wakat mwingine haya yana changamoto zake na kubwa mfano kama ni kazini, kuna kaz zile ambazo hata muda wa kua free unakua mdogo, pia ratiba zinabadilika mara kwa mara ama mda wowote ama kaz za shift,,hapa kwa kwel inahitajika busara ya hali ya juu kwa nyinyi wawili kuweza ku maintain the situation, lakin still bado muda unapopatikana utumike vizuri.
 
hata hivyo maisha ya mjini yamekuwa na changamoto nyingi sana hivyo muda hautoshi!
fikiria gharama za simu peke yake zinakwenda 100,000 kwa mwezi, kinga'muzi 30000 umeme 70,000 gas 54000 mafuta 450,000 maji 50000 michango ya harusi 300,000 nauli za shule kwa watoto wetu wawili 140,000 achilia mbali hatujala na wewe unataka maisha mazuri narudije saa 12 jioni? makato mikopo 450000 hivyo natengeneza netwok
 
Umenena vyema
 
Umenena vyema
hapo bado ada zinasubiri mwanzoni mwa mwezi ujao!
wanawake wanasahau kuwawao wanaishi leo ili waowaweze kuishi leo sisi inabidi tuitafute kesho ambayo wao watakuwa na leo yao na masaa ni haya haya.
 
Karibu sana.. Zamani nilikuwa mtu sahihi hapa jukwaani sema mambo mengi ndio maana tunapotea. Nitag tu haina tabu
I'll...... Nia ni kujenga, kuna uzi tulikuwepo huko binafsi nimeiona shida mahali, mahusiano mengi ni mfu!
 
Huyo mtu hizo tabia anakuwa nazo toka pindi bado wachumba... Kumuacha acha solemba.. Anaziona tabia za mtu wake lakini na bado anaamua kuolewa nae... Yakitokea anakuja kulalamika...

Ndoivo Smart911 wangu....... Kuna vitu vinauzi basic tu..

ila I thank God for you sweetheart
 
Umeowa ila bado unaishi maisha ya u-bacholor,, kuna aina ya kazi ni full tym unakuwa busy bt smtyms jiibe hata 3hrs ukae na mkeo, apart from mahitaji mengne unayompa muda wako pia anauhitaji,, wanaume tubadilike tulioko kweny ndoa, na mji-tune mnaotarajia kuingia kweny ndoa. Unapotaka kuoa/kuolewa means umeamua kuuza sehemu ya uhuru wako.
Kweli kabisa.
 
Akirudi kachokaaa, na mipombe alokunywa ukianza kuongea nae utasikia "wanawake hawajui kuangalia nyakati za kuongea na za kupumzika". Shenzi kabisa.
Aibu nimeona mimi. Sasa mtaongea muda gani zaidi ya hiyo saa 8 alorudi?
 
Bar na kwenye mipira yenu hiyo mkiwahi sana ni saa5 usiku, sasa hiyo saa2 unayoongelea tunakuwa tunakula na kuongelea huko bar???

Na muda na wanao unao saa ngapi? Hata home work huwa unawasaidia kweli? Vikao vya wazazi shuleni umewahi hudhuria hata kufuatilia maendeleo ya wanao? Outing wakafurahi na baba yao je? Umewahi kuingia kwenye maisha yao hata ujue nini kinaendelea?
Mmh unaangalia sana movie za kifilipino
 
Mpendwa rafiki nimekuelewa vizuri kwamba lazima mambo haya yawe balanced, mume lazima apate mda na mkewe then pia na watoto,,inasikitisha kuona mume/baba anapata muda kua free lakin utakuta anashinda baa kwamba ndo uanaume, kwamba akipata mda na mkewe ama watoto anawaza ataonekana vipi na rafik zake kwamba anafungiwa ndani, lakini kumbe sivyo, ni kukosa ufahamu tu na akili kidogo ama maarifa. Na ewe mwanaume mwenzangu hakuna kitu kibaya kama mwanamke ku....... ngoja ntamalizia next time.

But mpendwa ulieleta mada, pia wakat mwingine haya yana changamoto zake na kubwa mfano kama ni kazini, kuna kaz zile ambazo hata muda wa kua free unakua mdogo, pia ratiba zinabadilika mara kwa mara ama mda wowote ama kaz za shift,,hapa kwa kwel inahitajika busara ya hali ya juu kwa nyinyi wawili kuweza ku maintain the situation, lakin still bado muda unapopatikana utumike vizuri.
Daah uwe na usiku mwema. Mtu ameoa ila muda wote anawaza kuwaplease marafiki zake. Kwa aliye busy kweli (maana kuna watu huwa wapo tu busy, wanasahau hata kama they Need to spend some quality time na familia zao. Basi siku akiwa free tofauti na ionekane, hata kama ni few days basi compensate zile siku ambazo ulitingwa
 
Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kujaza fridge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa nane usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au mzazi wangu wangu alishindwa kununua luku?

Weekend ndiyo muda wa kuongea na wewe. Monday to Friday unawahi kazini acha J'mosi nikupikie breakfast tuongee, ikiwezekana basi kufanya shopping wakati ninasafisha nyumba tule pamoja then unaweza kuwa na masaa mawili matatu na marafiki zako lakini unawahi kurudi nyumbani.

Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.
Basi samahani nimekosa na nnakuahidi sitarudia tena mama.
 
Mpendwa rafiki nimekuelewa vizuri kwamba lazima mambo haya yawe balanced, mume lazima apate mda na mkewe then pia na watoto,,inasikitisha kuona mume/baba anapata muda kua free lakin utakuta anashinda baa kwamba ndo uanaume, kwamba akipata mda na mkewe ama watoto anawaza ataonekana vipi na rafik zake kwamba anafungiwa ndani, lakini kumbe sivyo, ni kukosa ufahamu tu na akili kidogo ama maarifa. Na ewe mwanaume mwenzangu hakuna kitu kibaya kama mwanamke ku....... ngoja ntamalizia next time.

But mpendwa ulieleta mada, pia wakat mwingine haya yana changamoto zake na kubwa mfano kama ni kazini, kuna kaz zile ambazo hata muda wa kua free unakua mdogo, pia ratiba zinabadilika mara kwa mara ama mda wowote ama kaz za shift,,hapa kwa kwel inahitajika busara ya hali ya juu kwa nyinyi wawili kuweza ku maintain the situation, lakin still bado muda unapopatikana utumike vizuri.
Mkuu hakuna kazi utakayofanya bila mapumziko labda uwe mtumwa. Huo muda wa mapumziko familia inakuja kwanza. Unakuta baba analipa ada za shule lakini hata hafahamu kuwa mtoto wake ni left handed au amekuwa mtoro shule
 
Wanaume wa kolomije hao mpaka saa nne usiku hayupo nyumban halaf ukichapiwa mke unasema wanawake ni malaya
Akirudi bla bla dakika2 hiyo kesho mkanda nje tabu huko anakoenda akirudi ananuka jasho tu na bia basi, ukiongea mwanamke huyu ana domo balaa
 
Back
Top Bottom