Umenioa nije kwako kula na kulala?

Umenioa nije kwako kula na kulala?

Haya ndio matatizo ya mke house wife, mume dalali wa magari, kila saa inabidi awe baa na washkaji kupata deals, alafu mke huku nyumbani keshakaa siku nzima peke yake mpaka ameboreka...
Ndiyo mwanzo wa mke kuongea na wapangaji wanaume na kumaliza kila kitu halafu eti wana wivu hao ujinga tu
 
Aiseeeeeh,

Basi nikioa naacha vya "white color job"

Teeeh teeeh teeeh teeeh Haaa haaa Haaa haaa ili, nikae naye na kufanya "bedroom job"
 
Wenyewe wanazani kushinda nyumbani ni kugegedana tu kumbe hata kuongea tu ni amani, kugegeda kwenyewe dakika 2 kwisha

Duuuuuuh,

Njoo kwangu, yaani ni 2hrs for 1 game na Show ni 5 games per day / or night mean that, 5games *2hrs = 10hrs a non stop game. For 24hrs inakuwa na 20hours with a short break of 4hrs only
 
Duuuuuuh,

Njoo kwangu, yaani ni 2hrs for 1 game na Show ni 5 games per day / or night mean that, 5games *2hrs = 10hrs a non stop game. For 24hrs inakuwa na 20hours with a short break of 4hrs only
uwezo huo unao unajua wanajisifiaga ndiyo hao mkianza tu unasikia dear samahani leo sipo vizuri sana kumbe ndiyo zake
 
uwezo huo unao unajua wanajisifiaga ndiyo hao mkianza tu unasikia dear samahani leo sipo vizuri sana kumbe ndiyo zake

Teeeh teeeh teeeh Haaa haaa Haaa haaa.

Sasa si nimetangaza zabuni / tender wewe chukua form ambayo ni pm then, utaleta mrejesho wake apa hapa JF mubashara.

Ila , tusiombane pesa yaani kwa lugha ingine ni amafaranga gha M. Le Président Kagame.
 
Any way, Sky Eclat, Shikamoooooooo, kwa uzi huu mgumu sana unaotutoa manundu humu JF.

Maana, siyo za uso kali kama hizi Ukiendelea hivi ndani ya siku zilizobaki kabla ya budget ya mwaka huu kuisha nitakuwa sifungui JF hadi budget Mpya ianze kutumika. Maana Kama sivyo. Uso utajaa manundu.

Teeeh teeeh teeeh teeeh teeeh Haaa haaa Haaa haaa Haaa.
 
Utaagizwa chunvi, mwiko, nisaidie kusuuza hizi nguo, isaidie kutoa hayo mashuka ns kutandika mengine mi niko jikoni naandaa chai.
 
Utaagizwa chunvi, mwiko, nisaidie kusuuza hizi nguo, isaidie kutoa hayo mashuka ns kutandika mengine mi niko jikoni naandaa chai.
Aisee, hapo kwenye kutantika sijui kufunganeti ndio wana tuboa sana bora kuchelewa tu.
 
Back
Top Bottom