Umenioa nije kwako kula na kulala?

Umenioa nije kwako kula na kulala?

Huo ujauzito uliubeba lini ukajua uchungu wake!!!

Kumbe mahali popote waweza kula eeh!! Basi uwe unaibeba familia yako kila siku mkale huko migahawani, si ndio maana migahawa ipo!!
Siwez kubeba familia mpaka mgahawani ni aibu sana. Labda km tunatoka kanisani tunaweza pita mgahawani kula. Siku zingine chakula kinaliwa nyumbani. Km nimeenda kuangalia mpira baa, kwann nisile huko huko tu.
KUGONGEWA KUNAUMA SANA. ASIKUAMBIE MTU. KAMUULIZE MWANAUME YYTE YULE ATAKUAMBIA.
 
Waivi kazi yake ndogo tu,tenga even sku 3 mda mwingi kaa chumban na akikisha full time umeshiba kila akija chumbani asitoke bila kupigwa bao na bao la ukweli,ata kija kuchukua nguo yoyote chumban piga bao,km anapikia nje akifata chumvi ndan vuta chumban piga bao,mda mwingine muite mwambie fanya kuna kitu ukion aje akuonyeshe ,akija piga bao, na km amna watoto bas sehemu yoyote ndan ya nyumba piga bao,haitachukua mda utaskia iv na ww utokagi tu!
 
Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kujaza fridge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa nane usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au mzazi wangu wangu alishindwa kununua luku?

SI UOMBE TALAKA UOELEWE NA MWINGNE
 
Mwishoni Mwanaume Utaishia Kuwekew Movie Za KiFilipino Na Za Kinaijeria Umaliziwe Na Bongo Movie. Juma3 Watu Wanadiscuss Aguerrrrrooooo Unabaki Kuuliza Tu??!
Pia ataanza kukupigia story za udaku daily mara zari kafanya hivi mara vile.....Yaan mtu ukose EPL kwa kukaaa nyumbani weekend kizembe zembe tu haiwezekani kwakweli
 
Na mlengwa umemfikishia ujumbe lakini au ndio kilio cha samaki
All in all message sent and derivery
 
......huu nao ni ujinga mwingine wa wanawake-mimi na umri wangu unataka niwahi kurudi kufanya nini..?
......ukianza kushinda nyumbani hamkawii kusema mwanaume gani hata hau-socialise na wenzako
mmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhh vp ukikuta mkeo analiwa na House boy ?
 
Dah! Siku hizi hautupi pumzi, ila Mwanamke ukiwa mdomo mrefu usitegemee mwanaume akae nyumbani.
 
Siku zote kwenye mahusiano yoyote ya Kimapenzi aama kindoa ni lazima kuwe na makubaliano na mipaka ambayo kila mmoja anatakiwa kuheshimu. Lazima Mpange muda wa kushinda na hata kama kutoka basi mtoke wote. Muweke makubaliano kuwa siku fulani ni lazima tushinde wote nyumbani na tupange na kuzungumza kuhusu Maisha Yetu.

Ni lazima kila mmoja aheshimu hilo na kulikubali hilo. Lakini bila makubaliano kila siku mtaumia ba kuumizana. Pasipo na maelewano basi hapatakuwepo na Mahusiano Thabiti.

Kwangu Mimi simu yangu ni Tatizo kwa kuwa Muda mwingi lazima niwaze kuandika Riwaya. Nawaza kesho niandike nini ama leo nifanyeje. Nina watu ambao hulipia Riwaya zangu kisha kutumiwa. Sasa Tukiwa pamoja ni lazima nikutaarifu hilo. Na nikikutaarifu Basi uwe Tayari Kunielewa. Lakini yote kwa Yote napenda sana kukaa Sehemu ama kushinda ndani na mpenzi Wangu. WANAWAKE MKIPUNGUZA MDOMO KILA KITU KINAWEZEKANA. TATIZO MNAPENDA KUONEKANA MKO JUU
 
Asante sana mkuu.
 
mmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhh vp ukikuta mkeo analiwa na House boy ?
Ukilikuta hilo tambua ni makubaliano Yao. Kutokushinda kwangu nyumbani sio kwamba sikutoshelezi. Kinachozungumzwa hapa ni kushinda na kupanga maisha kwa pamoja sio Mgegedo
 
Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kujaza fridge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa nane usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au mzazi wangu wangu alishindwa kununua luku?

Weekend ndiyo muda wa kuongea na wewe. Monday to Friday unawahi kazini acha J'mosi nikupikie breakfast tuongee, ikiwezekana basi kufanya shopping wakati ninasafisha nyumba tule pamoja then unaweza kuwa na masaa mawili matatu na marafiki zako lakini unawahi kurudi nyumbani.

Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.
Ntajirekebisha mpendwa usijali
 
Back
Top Bottom